Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Rais na CCM ni wabaguzi sana umoja wetu uko mashakani

Wasukuma miaka yote tulikuwa tunachunga ng'ombe leo tumeingia maofisini imekuwa nongwa.yeeh!
Kauli mbiu ya bwana mkubwa inabidili aibadilishe na kuwa ya kuletea wasukuma maendeleo na siyo wananchi wote.
 
Ni hivi , ccm haina uhusiano wowote na Mungu , na wala hakuna mwanaccm atayeionja pepo, narudia tena , Hakuna .

Hata hawa viongozi wa dini wanaomdhihaki Mungu kwa kushirikiana na ccm gizani na hadharani , akiwemo yule mlevi na yule kiongozi wa kanisa kubwa , hawa wote ni wa motoni tu
 
Huyo si msukuma ni MNYAKENDE,mcha Mungu hawezi akashirikiana na JECHA kupindua uchanguzi wa Wanzazibar kwani sauti ya wengi ni ya Mungu,labda mpenzi wa shetani?
 
Kumbuka mwizi anamuomba Mungu avunje nyumba kuchukua mzigo na kuondoka salama, changudoa anamuomba Mungu apate mteja ampe na walipane salama, muuza unga anamuomba Mungu afikishe mzigo salama, muhasibu anamuomba Mungu akwapue mzigo salama, jangiri linamuomba Mungu litoke porini salama, sasa huwezi jua bwana yule anamuomba Mungu mgawanyo wa wananchi uende salama au vipi. Mungu ndiye anayejua atamsaidia nani.
 
Miaka hii kumi wanyama wote msituni hawaruhusiwi kumsema bwana simba ...ole wa wanyama, ole wao.
 
Mmmhhhhh
Kumbuka mwizi anamuomba Mungu avunje nyumba kuchukua mzigo na kuondoka salama, changudoa anamuomba Mungu apate mteja ampe na walipane salama, muuza unga anamuomba Mungu afikishe mzigo salama, muhasibu anamuomba Mungu akwapue mzigo salama, jangiri linamuomba Mungu litoke porini salama, sasa huwezi jua bwana yule anamuomba Mungu mgawanyo wa wananchi uende salama au vipi. Mungu ndiye anayejua atamsaidia nani.
 
Habari za jumapili!

Kwa taifa lolote au familia yoyote lazima kuwe na umoja ndio taifa au familia kuendelea au kupata mafanikio na maendeleo.

Katika hili linaloendelea nchini kwa raisi anaesema yeye ni mpenz wa Mungu mie kwa mtazamo wangu sio kweli hafanyi mapenzi ya Mungu bali mapenzi ya binadamu.

Katika matamko yake tofauti kaonyesha yeye ni CCM na kipaumbele chake ni watu wa CCM hata kadiliki kusema kwenye serikali yake lazima uteuzi ufanywe na makada wa CCM tu.

Juzi kaingilia vyombo huru kama mawakili na kudai kama hawatamchagua mtu toka CCM hatawapa ushirikiano sasa huyu ni mpenzi wa Mungu?

Haiwezekani unahubiri kuna watu wanawagawa wananchi wakati yeye ndo wakwanza kuwagawa wananchi kwa misingi ya chama na unawanyoshea kidole wale wakati vinne vinarudi kwake.

Sio siri bado kiongizi huyo anaonekana kubagua baadhi ya watu na kupendelea wakutokea kwake kanda ya ziwa na mbaya zaidi anaonekana anapendelea na kuwateuwa watu wa kabila lake na dini yake.

Ndio maana nasema rais na chama chake ni wabaguzi ila likitibuka wanawanyoshea kidole wapinzani lakini ukweli utabaki kuwa ivyo wabaguzi ni CCM na idara zake.

Tujikumbushe Zanzibar kwenye umoja wa kitaifa ilikuwa na umoja na utengamano huwezi kusema mpenzi wa Mungu then unawabugua watu wa Mungu au ni Mungu gani anaye mtumikia?
Hata wanaoabudu ng'ombe wanamwita mungu.yawezekana mungu wa magufuli ni tofauti na mungu alie juu ya vyote,mungu wa magufuli kashindwa kumpa hekima na akili zakuongoza watz.
 
Habari za jumapili!

Kwa taifa lolote au familia yoyote lazima kuwe na umoja ndio taifa au familia kuendelea au kupata mafanikio na maendeleo.

Katika hili linaloendelea nchini kwa raisi anaesema yeye ni mpenz wa Mungu mie kwa mtazamo wangu sio kweli hafanyi mapenzi ya Mungu bali mapenzi ya binadamu.

Katika matamko yake tofauti kaonyesha yeye ni CCM na kipaumbele chake ni watu wa CCM hata kadiliki kusema kwenye serikali yake lazima uteuzi ufanywe na makada wa CCM tu.

Juzi kaingilia vyombo huru kama mawakili na kudai kama hawatamchagua mtu toka CCM hatawapa ushirikiano sasa huyu ni mpenzi wa Mungu?

Haiwezekani unahubiri kuna watu wanawagawa wananchi wakati yeye ndo wakwanza kuwagawa wananchi kwa misingi ya chama na unawanyoshea kidole wale wakati vinne vinarudi kwake.

Sio siri bado kiongizi huyo anaonekana kubagua baadhi ya watu na kupendelea wakutokea kwake kanda ya ziwa na mbaya zaidi anaonekana anapendelea na kuwateuwa watu wa kabila lake na dini yake.

Ndio maana nasema rais na chama chake ni wabaguzi ila likitibuka wanawanyoshea kidole wapinzani lakini ukweli utabaki kuwa ivyo wabaguzi ni CCM na idara zake.

Tujikumbushe Zanzibar kwenye umoja wa kitaifa ilikuwa na umoja na utengamano huwezi kusema mpenzi wa Mungu then unawabugua watu wa Mungu au ni Mungu gani anaye mtumikia?
Bado sio sababu ya kunifanya nimchukie BWANA MKUBWA.
 
Back
Top Bottom