Mwanaume kukojoa maji badala ya spam /mbegu shida ni nini?

mose moses

Member
Jan 31, 2017
46
23
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.

Tafadhali wenye hekima mnahusika.
 
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.

Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Mwambie aende akawaone seedco wataalamu wa mbegu kwa ushauri zaidi
 
Mwanaume kukojoa maji badala ya spam/mbegu shida ni nini? Au uume unagoma kabisa kusimama nini tatizo kwa wanaume.

Tafadhali wenye hekima mnahusika.
Zifuatazo zinaweza kuwa sababu.
1.Umepiga sana puchu
2.Huli vyakula vizuri(hasa protini na matunda)
3.Hunywi maji ya kutosha
3.Una stress
4.Mazoezi hufanyi...hata kuruka kamba tu ni mazoezi
.....hapo usipojitathmini lazima ukojoe upepo na jamaa alale doro.
 
Ahaaaaa ahaaaa hiyo inawwza kuwa sahihi
 
Nakubali, kukosekana kwa mvua Tz kumeleteleza matatizo kisaikolojia jamani. Dah! Hebu tuone, haya matone yaloshuka juzi kati kwaweza badili muelekea kwani tulipokuwa tunaelekea siko. Mtu amefika mahali pa kukojoa spam!! Dah!
 
Back
Top Bottom