Recent content by Don Mangi

  1. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo salama kiasi gani katika mikono ya wanaotoa huduma za 'massage'?

    Tafsiri sahihi ya Kiswahili ya massage ni "kusinga" kuchua naona inaleta maana tofauti pia inatumika kwenye tafsiri ya masturbation "kujichua".
  2. Don Mangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za mnyama ''al ghazali'' katika ndoa, mahusiano na matumizi mengine

    Hahaha
  3. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

    Kwa anayehitaji mayai yapo ya kutosha, bei inaanzia sh 6500/- kwa trei. Idadi kuanzia tray 100 Napatikana Mwenge Dsm
  4. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Library nina uzoefu wa miaka miwili

    Librarian The School of St Jude is an education institution, entirely funded by charitable donations, that provides free, high-quality primary and secondary scholarships to 1,800 of the poorest and brightest students in the Tanzanian region of Arusha. We are looking to appoint a Librarian to...
  5. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Bachelor of Science in Telecommunications Engineering

    Job title :- field test engineer Education :- must graduated for the same Experience :- even fresher can apply Nationality :- only Tanzanian Contact me through +255686100103
  6. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Mnashindwa kujua role ya HR, wanaoajiri ni departmental heads, kazi ya HR ni ku facilitate tu lile zoezi. Sometimes unakuta tayari candidate ameshakuwa disqualified na wanaomtaka HR wanaonekana roho ngumu kwa kuuonyesha ule ukweli.
  7. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni HR Officer/Manager wakiume hapa panakuhusu

    Umama ni kulalamika hivi.... Komaa mtoto wa kiume.
  8. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Nime mmiss miss chaga

    How I miss them old times!!!!
  9. Don Mangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumtambulisha mpenzi mliyekutana mtandaoni kwa watu kwamba mlikutana mtandaoni?

    Mimi ntasema sehemu ya kwanza kukutana naye physically
  10. Don Mangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am feeling guilty, nafsi inanisuta

    Break up!! Haina maneno mengi, unamtoa out siku moja unamueleza ukweli kwamba hudhani kama unaweza kuwa na future naye, ni chungu kumeza ila ni dawa. Mtoto wa watu atalia kama siku zake kadhaa ila Mungu kawaumba tofauti sana atasahau na maisha yataenda mbele.
  11. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Magari yaliyogongwa

    Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nanunua magari yaliyogongwa ya aina zifuatazo:- Toyota Hilux Toyota Surf Rav 4 Old Model Isuzu Wizard Suzuki ya aina yoyote Gari nyingine zinazofanana na hizo ila iwe ya juu na isiwe jamii ya saloon cars Masharti Gari iwe na engine yake pamoja na...
  12. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Airtel...wameshindwaje?nini tatizo?

    Sijaona mkuu, insolvency kabisa au?? Nitupie link
  13. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Airtel...wameshindwaje?nini tatizo?

    Mkuu The Boss kufanya restructuring siyo kufilisika. Ni kubadili namna ya uendeshaaji wa biashara ili usipate hasara kubwa na uweze kunufaisha wanahisa wako. Restructuring ni kujipanga upya tu.
  14. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jina la Embe ng'ong'o kwa kiingereza

    Ambarella or Golden Fruit or Golden Plum. Uniletee hiyo zawadi.
  15. Don Mangi

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa industrial revolution tafadhali fanyeni agricultural revolution

    Kilimo kwanza iliishia wapi??? Si ndio mlitaka kutuaminisha kuwa ile ndio ilikuwa sera kuu ya kuinua uchumi? Kumbe wakubwa wanabeba vya kwao tuu.
Back
Top Bottom