Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Imekaa vema ila what if huyo sijui chemistry yupo kwenye special mission baada ya kugundua whole game
Hapo ndipo mleta mada atakapopambana na hali yake. Kila chaguo lina madhara yake, itabidi ayakubali hayo madhara
 
nawachukia sana watu wanaochanganya lugha kwenye maongezi au maandiko yao. andika lugha moja ijulikane. acha kasumba ili uonekane umesoma na umeendlea. kama kiswahili kiwe kiswahili kama kingereza vivyo hivyo " we must emancipate ourselves from mental selves "

Mkuu wewe una matatizo niulize kwa nn
 
Imekaa vema ila what if huyo sijui chemistry yupo kwenye special mission baada ya kugundua whole game
hawajuani kabisa na hakuna yeyote kati yao aliewahi hata kuhisi kama na mahusiano mengine....so kila mmoja anajua yuko peke yake
 
Wee acha maneno mingi guilty ndio nini sasa? Wanawake ni wakugegeda na kutupa kule so u just being a man achana na hizo guilty feelings. Kwani wao wanavyokubaligi kugwgedwa kabla ya ndoa sii wanajua kuwa kuna uwezekano wakubwagwa
 
Ushauri wangu... Afu very simple.. Ingia WhatsApp change dp weka ya mke mtalajiwa.. Ikae Kama mwezi hiv...

Huyo mchepuko akiona ni pin zaid yake mbona mnaachana kirahisi tu
 
hivi maana ya guilty ni nini?? kama ulijua huhitaji kuwa nae kwnn ulimzogeza karibu......nna mabinti zangu wanakuwa kwa kasi.......natamani nihame nchi kwa jinsi wanaume tufanyavyo kwa watoto wa wenzetu
 
Punguza spidi ya mawasiliano, ikipungua drop faster!!
Drop faster kabla wote hawajabeba mimba toka kwako.
 
Break up!!

Haina maneno mengi, unamtoa out siku moja unamueleza ukweli kwamba hudhani kama unaweza kuwa na future naye, ni chungu kumeza ila ni dawa.

Mtoto wa watu atalia kama siku zake kadhaa ila Mungu kawaumba tofauti sana atasahau na maisha yataenda mbele.
 
Back
Top Bottom