Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

Liston Cosmas

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
12
Reaction score
11
Habari zenu waheshimiwa,

Naomba kuuliza kama kuna yeyote anajua mahali pa uhakika ambapo nitaweza kupata mayai ya kisasa kwa bei ya jumla. Ntakua nachukua tray za kutosha.

Shukran sana wakuu!
 
Kwa anayehitaji mayai yapo ya kutosha, bei inaanzia sh 6500/- kwa trei.

Idadi kuanzia tray 100

Napatikana Mwenge Dsm
 
Back
Top Bottom