Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,243
- 88,087
Itakua wenye kampuni wanamuamini sana.
Mshenzi saaana anajijuta yeye ndo CEO
Mshenzi saaana anajijuta yeye ndo CEO
Kwani si paliwekwa patumike by kwa well deserved people sio kilaa mtu
Endeleaaa kukesha kusubiri hayo maswali
anyway let me reserve my energy for future use
kwan wanalipwa sh ngap mpka wawe na dharau ivo..Huyo kaka namjua sana, ni bonge la boya flani hivi, niliwahi kufanya nae kazi yani ni kama mwanamke hivi, ila si yeye tu wafanyakazi wao wote wengi wako hivyo hasa hao wenye ngozi nyeusi
sureBila hayo maswali huu uzi ni UNAFIKI
kwan wanalipwa sh ngap mpka wawe na dharau ivo..
PoleSijaja kuuza sura jf...ningetakankuuzabunhekuta nimejipost since day one
hahaha mkuu uzee tumewaachia vijanabro umerudi ,mbona kiti umechelewa number moja?
heshima yako mkuu.
Mnashindwa kujua role ya HR, wanaoajiri ni departmental heads, kazi ya HR ni ku facilitate tu lile zoezi. Sometimes unakuta tayari candidate ameshakuwa disqualified na wanaomtaka HR wanaonekana roho ngumu kwa kuuonyesha ule ukweli.
bora ww umenielewaa ndugu yanguPole sana aisee hyo ya kukutana na HR kauzu nimewahi kukutana, aisee jamaa alikuwa kisirani ka yuko kwenye siku zake, nika mu check tu licha ya kujiropokea vibaya nikawa cool, at the end alikuja kujishtukia mwenyewe. Watu wenye arrogance behavior wako kila corner na wao hujiona wamefika mwisho wa maisha, kikubwa ni kutokasirika na kuchukulia hyo ka changamoto