Jaman wakulungwa wenzangu samahanini kuna codes zimenitoa knock out
Unknown ,,Mzee Tembo,,business partner na mr anonymous
Nisaidieni wakulungwa
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kifo ndio ndoto ambayo kila mtu ataitimiza
Pia kuna maisha baada ya kifo ambayo ni either peponi kwa waliofanya ibada ipasavyo na mema pia kuna moto kwa walioishi kwa kutenda maovu na kufa bila kutubu dhambi zao
Hayo mengine ni propaganda za Sayansi na wasioamin uwepo wa Mungu
Kwa Tanzania ukiwa na wafuasi wengi,, ukiwa na chawa wengi na ukiwa unajua kuongea vizur kwa kupangalia maneno ya kulainisha wananchi even elimu darasa la saba aah utapata tu uongozi
Hakuna wa kumsimamisha Chelsea apo,, na Chelsea atakutana na Madrid kama historia ya Chelsea kukutana na timu za Spain inavyojieleza kipind cha De Matteo
Huwezi kumnufaisha kila mtu dunian
Mzee alikuwa sahihi kusema vijana tujiajiri
Ushajiuliza vijana wangap wanahitim vyuo vikuu, na serikalin huwa zinatoka nafas ngap za kazi, imagine wahitim wote tuajiriwe, ushajiuliza jioni wap nchi ingetoa pesa za kuwalipa waajiriwa wote
Vijana tujiajiri ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.