Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

[FONT="]Mtanzania, Mwananchi, Nipashe hamuoni waliokula hela? Mbona Muhongo tu[/FONT]

[FONT="]WATANZANIA TUOGOPE MAGAZETI KAMA YA MTANZANIA, MWANANCHI NA NIPASHE AMBAYO KILA KUKICHA YEYEWE YANAMTAFUTA RAIS WETU MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE. LAZIMA TUJIULIZE KWA NINI HAWA HAWAMUHESHIMU RAISI WETU, MAANA KILA KUKICHA WAO WANANGANGANIA MUHONGO AONDOKE.
TUNAJUA HAWA WOTE WAMEPEWA FEDHA NA MENGI KWA AJILI YA KAZI HIYO TU. WANAACHA KUWATAARIFU WATANZANIA MAMBO YA MAENDELEA WAO WANAFUATILIA MASUALA AMBAYO HAYAJENGI KWA WATANZANIA.[/FONT] [FONT="]
ANGALIENI GAZETI HILI LA MTANZANIA 21,1,2015 LIMEANDIKA SIKU ZA MUHONGO ZIMEKWISHA, SASA WAO WANAMUONGELEA RAIS? KWA NINI WASIKAE KIMYA KUSUBIRI MAAMUZI YA RAIS? KAMA WATANZANIA WOTE WANAJUA HALIHALISI YA ESCROW AKAUNTI ILIVYOKUWA NA MKAKATI ULIVYOFANYWA NA WAFANYABISHARA NA WALE WALIONYIMWA VITALU.[/FONT] [FONT="]
MBONA WAO HAWAMZUNGUZII ZITO ALIYECHUKUA FEDHA ZA IPTL KUTOKA KWA SINGA SINGA? KILA SIKU WAO WANAZUNGUMZIA MTU MMOJA TU, MTU MWENYEWE TUKISOMA TAARIFA YA CAG HATUONI MAHALI AMBAPO ANAHUSIKA, NI KWA NINI HAWATAKI KUANDIKA UKWELI ULIOPO? wanafikiri WATANZANIA NI MBUMBUMBU HATUELEWi KINACHOENDELEA? MAGAZETI HAYA TUNAJUA WAMEPEWA FEDHA NYINGI WAANDIKE KICHWA CHA HABARI MUHONGO. JUZI PIA TULISIKIA LEMBELI NAE AKIZUNGUMZIA SUALA HILO HILO, WOTE TUNAJUA LEMBELI AMEPEWA FEDHA NA LAZARO NYALANDO KUMTANGAZA. [/FONT] [FONT="]TUJIULIZE LEMBELI NI MTUMISHI WA WIZARA YA MALIASILI? KWA NINI KILA SIKU ANASAFIRI NA NYALANDU? KAMA YEYE NAE NI MTUMISHI WA WIZARA HIYO? [/FONT] [FONT="]
AMEPEWA FEDHA KWA AJILI YA KUICHAFUA CCM TU. HAPA MAJUZI LEMMBELI KAHONGWA MILIONI 20 NA NYALANDU KUPOTEZA WATU WASIZUNGUMZIE MASUALA YAKE YA KIMADA, NA ALIPEWA MAELEKEZO KUHAKIKISHA ANAZUNGUMZIA SUALA LA ESCROW NA MUHONGO KWA KUWA AKIZUNGUMZA HILO MAGAZETI YATAACHA KUANDIKA HABARI ZAKE.[/FONT]

Acha kupayuka bure kama mwendwazimu ndugu yangu....Mengi ndiye aliyeenda benki ya Mkombozi na Stanbic kuchukua fedha kwa magunia na sandarusi? hata kama unawatetea mafisadi sio kwa staili hiyo. Unaposema kwamba Nyalandu na Lembeli wanaichafua CCM unamaanisha nini? Waichafue CCM ili wanauaikeje? Na mbona Nyalandu kajitosa mbio za Urais kupitia CCM, sasa mtu ataangamizaje chama ambaco anataka kugombea urais kupitia chama hicho? Tafuta utetezi mwingine wa kumtetea huyo bwana yako Muhongo lakini sio huu wa kuokoteza. Je, mengi ndiye aliyeidhinisha fedha za ESCROW zichotwe na kuutangazi umma kwamba zile hazikuwa fedha za umma? Acha kuhorojoka bure hata kama unalipwa...unajiharibia haiba yako mbele ya jamii. CC FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Eti Limbeli Amemtaka Rais kutekeleza matakwa yake? Kwani Limbeli ni Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Dunia? anamtaka Rais atekeleze Amri yake kama nani? Pesa alizopewa na Mengi zimemzuzua mpaka anaropoka pasipo kutafakari kama Mvuta Bangi Lema.

mbona nawe unaropoka kama mvuta bangi? njaa zaitakuua.....
 
CCM haiwezi kuangamia kwa Masilahi Binafsi ya Mengi, Watu wengi wanajua kuwa Chuki ya Mengi juu ya Muhongo ndiyo imefanya huu Uzushi kuenea kila kona, Mengi katumia Mabilioni kuwapa wabunge, waandishi, walambi, Waganga wa kienyeji, Viongozi wa Dini nk, ili wamchafue Muhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi na kumnyang'anya Migodi ambayo alikuwa akimiliki kienyeji enyeji pasipo kuiendeleza huku akiwa anawanyanyasa wenyeji walio zunguka maeneo yake, CCM wa kumulikwa ni Mengi kwani ndiye Mfadhili wa kuchafua chama.

Mengi ndiye aliyeidhinisha fedha za ESCROW zichotwe na mafisadi wa CCM? Je, mengi ndiye Waziri wa Nishati na Madini? Fikiri kwanza kabla ya kuandika utumbo kama huu...elewa kwamba huku jf kuna watu wenye akili zao...usithubutu tena kuandika utumbo wako kama huu humu ndani.
 
Nchi hii ukiwa mtu sahihi utapigwa vita mpaka dunia uione chungu ukiwa fedhuli utapata back up ya kutosha kutoka kwa wafujaji mali za wananchi
 
Back
Top Bottom