Recent content by Dmato

  1. Dmato

    JamiiForums Tanzania TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

    nadhan nawewe ni Bashite, huna unachokifikiria hv piga picha angekuwa amepotea baba yako nadhan ndo ungeujua uchungu. Those are Roma`s fans ujue hicho kitu na wanafanya vile kuishinikiza serikali imtafte, acha kufuka ww. PERIOD.
  2. Dmato

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA mtawaambia nini wananchi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020?

    ile ni national project, siyo ya chama chchte, akilini zenu zifanye kazi basi japo kidg
  3. Dmato

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA mtawaambia nini wananchi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020?

    hoja yako haina mashiko, nadhan kichwa chako hakiko sawa, acha kuzifnya hoja za maendeleo za kitaifa na hoja za ilani ya Lumumba. Hivi kwa mfano unavosema eti mumejenga DART ni kweli mumjenga kwa kutoa pesa zenu za Lumumba ama? siamini kama upo sawa. 1st April was fool day
  4. Dmato

    JamiiForums Tanzania Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

    then inatuhusu nin sasa wa mfano, ww acha kutuletea ubashite wako apa
  5. Dmato

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    Refa ni wao piga manati......
  6. Dmato

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    anajua sana uyu jamaa, by the way WAPO
  7. Dmato

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    mkuu uko vzr sana nmependa ulivotudadafulia, na imani mkulu ataupitia uzi wako nakupata kitu
  8. Dmato

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Slums" ni nini? Wakenya naomba mnisaidie!

    mbavu za mbwa
  9. Dmato

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA yafanya Uteuzi wa Wabunge wake wa Bunge la Afrika Mashariki

    kura kuhusu kipute hicho zinapigwa vipi, msaada please
  10. Dmato

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda teknolojia kama mimi karibuni msome hapa

    soma jsp, php, laravel , c# and java, html na css u cant code anything bro, karibu tukupe darasa
  11. Dmato

    JamiiForums Tanzania Taja vyombo vya habari vilivyosusia habari ya Mh. Nape kutumbuliwa

    mbn imerushwa ww jamaa,
  12. Dmato

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

    #Tukutane 2020
  13. Dmato

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa amesahaulika sana, napendekeza apewe ukuu wa mkoa wa Dar

    nae kumbe ni ngosha?
  14. Dmato

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kupata dhamana? Mbivu na mbichi kujulikana leo

    Acha kuongea tumba ww uwe na speed governor ya mdomo
Back
Top Bottom