Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

Hivi Nape kafukuzwa uanachama wa CCM? Maana mabavichaa yameishaanza eri kutaka ajiunge nayo.....nyoooo
 
Leo ndiyo unakumbuka Utaifa?? Lissu alibebwa juu juu toka Dodoma mlifanya sherehe humu,leo yako wapi??Kinyago mlichokichonga kinawakimbiza,na bado.
Tetty sikuzote inapokuja jambo lenye maslahi ya Taifa ni vyema tukaweka uchama pembeni hii haikubaliki ata kidogo leo kwangu kesho kwako ata Mwenyekiti wako Chama analijua hiloo leo utashangilia Nape kafanyiwa hivii Je kesho akifanyiwa mtu mwingine kwenye chama chenu utajisikiaje
 
Kigezo siyo nje ya system Angalia mambo mangapi Huyo mtu alivofanya kazi kizalendo kwa kuhatarisha uhai wake na pengine kupoteza mda wake mwingi kwenye chama na kuachana na maisha mengine lazima tuwe na shukranii
Unaongelea Recognition au?Hiyo Bwana Simon nakubaliana na wewe 100%
 
Lissu alisema hakuna alie salama mkamuona chizi ila ndio haya sasa yanatimia.
Dr Slaa alivunjwa mkono na pamoja na mke wake kuharibiwa ujauzito akiwa Arusha wakati wakitetea Chadema.

Lakini alifukuzwa dakika za mwisho na chama kuuziwa Lowasa.

Leo wako bize kumuonea huruma Nape
 
Mleta uzi hicho kilichomkuta Nape siku za nyuma aliona ni sawa kwa wapinzani kuwakuta. Au ni ule msemo wa mtenda akitendewa hujihisi kaonewa?
 
Mleta uzi hicho kilichomkuta Nape siku za nyuma aliona ni sawa kwa wapinzani kuwakuta. Au ni ule msemo wa mtenda akitendewa hujihisi kaonewa?
Mkuu tofautisheni political issues na mambo yenye maslahi ya Taifa hatutafika kama tunakuwa wanafiki kiasi hikii!!! Ata Mwenyekiti wako anajua lilitokea leo halikubaliki lakini wewe kwa unafiki wako unasifia OK tutakutana tuuh uwanjani kwenye field battle uzuri ni mda tuuh
 
Mkuu tofautisheni political issues na mambo yenye maslahi ya Taifa hatutafika kama tunakuwa wanafiki kiasi hikii!!! Ata Mwenyekiti wako anajua lilitokea leo halikubaliki lakini wewe kwa unafiki wako unasifia OK tutakutana tuuh uwanjani kwenye field battle uzuri ni mda tuuh

Hiyo unayoleta ni mikwara ya kishamba, Lema juzi amekaa magereza tena kinyume na sheria. Je ulimuona Nape hata akimpa pole kwa yaliyomkuta? Ukipanda bangi unatarajia kuvuna maharage?
 
Mtu hata kama ni mbaya lakini akatenda jambo jema lazima asifiwe. Hayo mengine bado atasulubishwa na dhamira yake. Ila kwa hili alitenda haki.
 
Mtu hata kama ni mbaya lakini akatenda jambo jema lazima asifiwe. Hayo mengine bado atasulubishwa na dhamira yake. Ila kwa hili alitenda haki.
Umeongea na umenena kwa kutumia busara na hekima sanaa Mungu akubariki
 
Lumumba naelekea kuifananisha na team bora ilochukua kombe (kushinda uchaguzi 2015) hiyo team ikauza wachezaji wake wote muhimu bila kukumbuka kuna mashindano yanakuja mbeleni (uchaguzi 2020)
Sidhani mtakuja kupambana na wapinzani kuutetea ubigwa wenu kwa kuwatumia wachezaji ambao bado hawajaiva kwa mikiki mikubwa kina pole pole,kina ***** daah mtakuwa MNA Kazi kubwa sana huko mbeleni

Refarii atasaidia saidia
 
"Tumefanya mabadiliko ili Chama kiwe cha Wanachama. Hatutaki chama awe mtu... JPM." Lugha za "mimi nimelala polini kukiingiza chama Madarakani" maana yake alipigana peke yake. Bila yeye ushindi usingepatikana. anasahau ushindi ni juhudi za uwajibikaji wa pamoja, wakati yeye analala polini kuna wanaowezesha yeye kulala polini, kunawanaomuunga mkono katika kulala huko polini sio kwa sababu yake ila sababu ya Chama wanachokipenda.
 
Tukae mkao wa kula kuna mengine mengi, mengi, makubwa zaidi ya haya, yako njiani yanakuja.........[HASHTAG]#Nape[/HASHTAG] shujaaa wangu,
 
Kwa hyo akikaid amri ya mkuu kisa aliifanya kazi yake mwaka jana vzr wakati wa kampen ndio asiondolewe???

Hii sio ccm maslahi,,ukikosea unakwenda na maji
 
Back
Top Bottom