Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Leo tarehe 03/03/2017 ndio rufaa ya mbunge Lema kusikilizwa kama ana haki ya kupata dhamana na Mahakama Kuu.
at the court of appeal level bado wanajielewa, hawezi kuwatolea amri, sio hawa majaji wa UPE, failures of law and Kikwete's favouryule tokea jana yupo kwenye ziara ya siku 4 mikoa ya kusini nahisi mpaka atoe tamko kwa mahakimu kama apewe dhamana au laaa!!.
tusubiri tuone!!
Kwa kosa lipi mkuu?Asipewe dhamana , mpaka akiri akirudi uraiani hatatukana na kukashfu ovyo,, LEMA mimi naona apigwe mvua ya miezi 10 jera ili iwe fundisho kwa wapuuzi wengine waropokaji.
Ifike mahala Rais wa tz aheshimiwe sio kutaka kumtishia kifo na kumtukana ovyo, Bado Lissu, na gwajima MBONA MTANYOOKA MWAKA HUU
BAK, that statement translates to non independence of the judiciary. It was a blessing that the Court of Appeal was bold , professionally enough to denounce what has been going on in the Magistrate's court and the High court!Leo Kamanda Lema atalala kwenye kitanda chake baada ya miezi minne ya dikteta kuzuia haki yake ya kisheria kupewa dhamana.
Nonsense!Leo tutaambiwa mahakama ipo huru, Kibatala ni wakili msomi na kila dhihaka ila akishindwa kupata rufaa tutegemee matusi kwa Magu na hapo hapo mahakama inageuka sio huru. Wafuasi wa siasa Tz wamekuwa manyumbu zaidi hata ya waumini wa dini yaani.
Unaogopa jela? Mwanaume ni jela, kipigo, shutuma, ultimately kifo. Ndio maana huwa nawapongeza wanaojilipua, huo ndio uanaume- if you are dying for a just cause anyway!Nazani cha mtema kuni amekipata, sasa hivi apewe tu dhamana, alafu makamanda waje kushangilia
Unaogopa jela? Mwanaume ni jela, kipigo, shutuma, ultimately kifo. Ndio maana huwa nawapongeza wanaojilipua, huo ndio uanaume- if you are dying for a just cause anyway!
utanyooka wewe usiejua sheria ya nchi na katiba yakeAsipewe dhamana , mpaka akiri akirudi uraiani hatatukana na kukashfu ovyo,
LEMA mimi naona apigwe mvua ya miezi 10 jera ili iwe fundisho kwa wapuuzi wengine waropokaji.
Ifike mahala Rais wa tz aheshimiwe sio kutaka kumtishia kifo na kumtukana ovyo, Bado Lissu, na gwajima MBONA MTANYOOKA MWAKA HUU
Acha kuongea tumba ww uwe na speed governor ya mdomoAsipewe dhamana , mpaka akiri akirudi uraiani hatatukana na kukashfu ovyo,
LEMA mimi naona apigwe mvua ya miezi 10 jera ili iwe fundisho kwa wapuuzi wengine waropokaji.
Ifike mahala Rais wa tz aheshimiwe sio kutaka kumtishia kifo na kumtukana ovyo, Bado Lissu, na gwajima MBONA MTANYOOKA MWAKA HUU