Jerry Silaa amesahaulika sana, napendekeza apewe ukuu wa mkoa wa Dar

Weeeeee visasi.com utaviweka wapi?? Umesahau ugomvi wa Mayor na waziri wa ujenzi juu ya mabango yaliyo kwenye reserve ya barabara?? Ugomvi ulifika kwa JK akiwa President! Dogo akashinda!!! Visasi visasi visasi hawezi kupewa hata katibu kata!!!!
Huyu kijana alikuwa mahili kuiongoza manispaa ya Ilala kwa nafasi ya meya 2010-2015.

Amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi kwa muda sasa. Ni wakati sasa mkulu amkumbuke ampe nafasi hii aweze kuwatumikia wanadalisalama.
 
Umekubali Daudi bashite apigwe chini sio?!
 
Back
Top Bottom