Hongera sn kwa hatua uliyofikia mi nilianzaga nikaacha ni kwasabu ya muda lakini ni kitu kizur na mimi piaa napenda sana kucheza na mitandao sna (Nerd) kama sasa hv najifunza ku hack simu na utundu mwingine.
Shukrani kwa Kushare
Kiukweli mm sio mtaalamu sana wa teknolojia lakini kiukweli mjomba uelezeaji wako wa kitu uko juu juu sanaaa kama nimepitia blog yako kwnye upande wa tvs na simu umeelezea simple sana na sio TECHNICALLY nashauri uwatafute watu kama chief mkwawa, utakuja, ymollel n.k wakupige msasa kwenye hya mambo, samahani kama nitakuwa nimekukera kwa hya maneno yangu.
Hongera mkuu..tunahitaji watu kama ww sio kujisifia umeenda chuo ukiingia mtaani sifurii...keep it up bro,,tafuta watakao kusaidia sio hao wanakupinga badala ya wakuongoze katka mwelekeo mzur...kwan kumrekebisha mtu ni mpka umdharau?! Dah hii bongo bwana
Mkuu,nadhani ulimanisha php na si phdKwanza nikupe hongera sana kama.ni kweli hukusoma it courses Chuo na bado.umeweza kujisomea HTML n CSS vyema
But pia umekosea nadhani ungefuata PhD badala ya java script then.u go for java then.python then utakua kwenye uwezo nzuri sana wa kucode almost every system au apps
Hongera sana mtoa mada!! ingawa naona kuna watu humu wanasema tu bila kuonesha wao wamefanya nini.. wanafanya kazi ya kukatisha tamaa.. Nakupa hongera kwa sababu umethubutu siyo wote wenye moyo kama wako wenye kuweza kukomaa bila mwalimu.... Ushauri wangu: Komaa na hicho unachofanya kwani bado combinations ya HTML, CSS, JAVASCRIPT kwa dunia ya sasa ina soko.. sababu you can develop for Client side and Server side using JavaScript(Node.js)..
..but also pick one or two server side languages(PHP, Python nk..) ili kujiweka mazingira mazuri zaidi..
Maoni yangu kwa wenzangu: Tuache malumbano tuende kwenye kuelekezana tutafika..
Note: Niko kwenye hii field kwa muda mrefu kidogo na ndo inaniweka mjini.. Kwa mfano mdogo wa kazi zangu. check play store and search IWACHU COMPANY
Unataka kujifunza tu programming?, unaweza kujifunza mwenyewe kama ukipewa videos na vitabu?Mtaalam wa programming languages aniPM namba yake Mimi nipo dar, pia naomba ushauri kwani Mimi ni mjasiriamali nataka kujifunza ila nataka nipewe mtiririko wa language ipi yakuanza mpaka mwisho na nipewe tathmini ya gharama ili nijue nitamudu au la. Mimi ninauelewa wa haraka na mwepesi wa kufanya practice kwa jambo ninalofundishwa. Asanteni wakuu kwa heshima yenu
Unataka kujifunza tu programming?, unaweza kujifunza mwenyewe kama ukipewa videos na vitabu?Mtaalam wa programming languages aniPM namba yake Mimi nipo dar, pia naomba ushauri kwani Mimi ni mjasiriamali nataka kujifunza ila nataka nipewe mtiririko wa language ipi yakuanza mpaka mwisho na nipewe tathmini ya gharama ili nijue nitamudu au la. Mimi ninauelewa wa haraka na mwepesi wa kufanya practice kwa jambo ninalofundishwa. Asanteni wakuu kwa heshima yenu
Sijajua kama ntaweza labda aliyewahi kusoma kwa njia hiyo anipe mwelekeo kama inawezekana.Unataka kujifunza tu programming?, unaweza kujifunza mwenyewe kama ukipewa videos na vitabu?
Ndio programming pekee mkuuUnataka kujifunza tu programming?, unaweza kujifunza mwenyewe kama ukipewa videos na vitabu?
Naweza kukusaidia kitu kimoja, nakupa videos za programming unazotaka kujifunza, mimi nitakuguide kwa sehemu ya kusoma na kisha nakupa maswali na nakupa deadline ya kumaliza kufanya maswali na kisha unatuma solutions kwa njia ya e-mail.Ndio programming pekee mkuu
Ntashukuru Mkuu ninaham sana kusoma hii kituNaweza kukusaidia kitu kimoja, nakupa videos za programming unazotaka kujifunza, mimi nitakuguide kwa sehemu ya kusoma na kisha nakupa maswali na nakupa deadline ya kumaliza kufanya maswali na kisha unatuma solutions kwa njia ya e-mail.
Unaweza chagua kuanza c au c++, ili kupata basics za programming anza na C halafu baadae utakuja kwenye hii object oriented programming (OOP) languages ikiwemo hiyo c++.Ntashukuru Mkuu ninaham sana kusoma hii kitu
Unaweza nipa huu msaada kwenye java programming??Naweza kukusaidia kitu kimoja, nakupa videos za programming unazotaka kujifunza, mimi nitakuguide kwa sehemu ya kusoma na kisha nakupa maswali na nakupa deadline ya kumaliza kufanya maswali na kisha unatuma solutions kwa njia ya e-mail.