Kamati Kuu ya CHADEMA yafanya Uteuzi wa Wabunge wake wa Bunge la Afrika Mashariki

DJ jeuri sana. Ndo maana moja ya watu wenye akili Tanzania ingawa hawana elimu ni Mbowe na Bashite. Amepeleka majina yake kwenye Kamati Kuu akasepa zake ili myapitishe, huku nyuma Mnyika anajichanganya na matamko mbuzi juu ya kuenguliwa kwa Nape.

Kweli CHADEMA jeshi la mtu mmoja.
Kamati Kuu ya CHADEMA imewateuwa Ezekia Dibogo Wenje and Lawrence Kego Masha kuwa wagombea Ubunge Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
 
Duh mbona hii issue haijawa ya wazi.

Lini walitangaza kuhusu hao wabunge.

Je kuna form zilichukuliwa au kuna utaratibu gani ulitumika.
Kama kawaida huwa Mzee wa Monduli anaamua akimshirikisha DJ. Wanafanya kupeana tu nafasi. Chama cha kisanii sana hiki. Ila wajinga ndio waliwao.
 
Afu ni wale wale....HIKI NI KITHIBITISHO TOSHA ya kuwa hata keki ya TAIFA italiwa na wachache ndani ya CHAMA siku mkipewa NCHI....
Masha ataleta kipi kipya?he has been there.....kwanini msiwape sura mpya kabsa...
Kwani CHADEMA hakuna HAZINA ya vijana?????.....aiseeeh WAKATI mwingne unaona CCM wanakosea kwenye BAADHI YA MAMBO ukijaribu kuangalia MBADALA WA CCM.....unaanza kulia mwenyewe NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU CCM ibaki miaka MIA si haya MAJAMBAZI NA MABAGUZI.....jaribuni KUJITOFAUTISHA NA CCM.....MASHA NA WENJE wanini hawa????...WANA HATI MILIKI YA KUITWA WABUNGE??????

Ndiyo hapo ccm imechokwa Ila Hakuna mbadala wake...CCM inapovuruga na bashite cdm wanakuja na equally less inspiring act...inakatisha tamaa kweli kweli

Tatizo ni mbowe, mbowe siasa zake anazikopi CCM siasa za kijambazi jambazi za kujuana Juana, na siasa za kimatukio tukio badala ya mipango endelevu
 
Afu ni wale wale....HIKI NI KITHIBITISHO TOSHA ya kuwa hata keki ya TAIFA italiwa na wachache ndani ya CHAMA siku mkipewa NCHI....
Masha ataleta kipi kipya?he has been there.....kwanini msiwape sura mpya kabsa...
Kwani CHADEMA hakuna HAZINA ya vijana?????.....aiseeeh WAKATI mwingne unaona CCM wanakosea kwenye BAADHI YA MAMBO ukijaribu kuangalia MBADALA WA CCM.....unaanza kulia mwenyewe NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU CCM ibaki miaka MIA si haya MAJAMBAZI NA MABAGUZI.....jaribuni KUJITOFAUTISHA NA CCM.....MASHA NA WENJE wanini hawa????...WANA HATI MILIKI YA KUITWA WABUNGE??????
ccm wanamapungufu lakini tukubali hatuna upinzani wa kuleta mageuzi ya hata ya kufikia ya ccm inayoyafanya!.
 
Afu ni wale wale....HIKI NI KITHIBITISHO TOSHA ya kuwa hata keki ya TAIFA italiwa na wachache ndani ya CHAMA siku mkipewa NCHI....
Masha ataleta kipi kipya?he has been there.....kwanini msiwape sura mpya kabsa...
Kwani CHADEMA hakuna HAZINA ya vijana?????.....aiseeeh WAKATI mwingne unaona CCM wanakosea kwenye BAADHI YA MAMBO ukijaribu kuangalia MBADALA WA CCM.....unaanza kulia mwenyewe NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU CCM ibaki miaka MIA si haya MAJAMBAZI NA MABAGUZI.....jaribuni KUJITOFAUTISHA NA CCM.....MASHA NA WENJE wanini hawa????...WANA HATI MILIKI YA KUITWA WABUNGE??????
Masha na Wenje ni wabunge?

Halafu, sikumbuki kukusikia ukisema CCM wamekosea kwenye jambo lolote. Hata la Bashite tu unawaunga mkono.
 
Back
Top Bottom