Recent content by Dksalas

  1. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Unaona ni muonezi eeh!!
  2. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

    Pia kinamsaidia mneso anapokaa sehemu rough!
  3. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Lawama kwa trafiki kuwa hawakusanyi fedha za fine za kutosha ni uonevu kwa wananchi na kutofikiri kwa makini

    Mi nilishapaki mkoko wangu, sitaki vurugu za maono!
  4. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

    Sasa mbona unababaika? hapo tu umejikomoa mwenyewe!
  5. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Sio mbaya ukimuachia mali hizo watatumia waliobaki, we ishia zako!
  6. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka viwango vya FIFA, yashika nafasi ya 125

    Wacheza makirikiri hawana isu!
  7. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kisiwani Mafia sio vita dhidi ya ugaidi na magaidi, ni vita dhidi ya utu

    Mafanikio yanapitia ktk maumivu!
  8. Dksalas

    JamiiForums Tanzania My weather kaniacha mdomo waz

    Kuwa na mmoja ni woga wa matumizi
  9. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa bei mpya ya vifurushi vya azamtv

    Mh! maisha yanaendrlea kubana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Hongereni TBC kwa kuboresha muonekano

    Huenda! Lkn ikiwa ni tv ya umma wajitahidi kuboresha kama ZBC2 inayotufurahisha sana kwa vipindi mubashara vya michezo, bigup ZBC 2! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Diaspora karudi Kitaa baada ya miaka 30 nje, anashangaa!

    Ajiulize yeye kaifanyia nini TZ mpaka akute imemjengea barabara!
  12. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Weka picha na interest zako ni nini!
  13. Dksalas

    JamiiForums Tanzania UTAMBULISHO

    Ok, you're welcome!
  14. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Malipo ya King'amuzi cha DSTV na thamani ya shilingi ni changamoto

    Ni kipindi ambacho kwa sasa watanzania wengi nyakati za jioni wamekuwa wakitawanyika katika majumba ya starehe ikiwemo baa na vibandani kushuhudia mashindano ya Afcon yanayoendelea pale nchini Gabon. Pamoja na hilo, naendelea na utafiti mfupi huku nikiwa na hoja ya msingi kuwa: je watanzania...
  15. Dksalas

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga na vitisho vya nyumba niliopanga

    Hapo hapakufai tena, umeshavurugwa kisaikolojia tafuta eneo lingine uishi!
Back
Top Bottom