Saa nyingine wanawake uwa tunasababisha mambo ambayo hayakuepo ,pale unapo mzushia kitu inauma sana najua ilikuuma na huyo dada ilimuuma mpaka mkafikia kufanya hicho kitendo,mlicho kibugi ni kutokwenda vema na karenda ,sasa huyo dada nae mjinga kama alijua ana mtu kulikuwa hakuna sababu ya kujiachia kiasi hicho ,dada ana makosa nae hana msimamo,chakufanya mimba hasitoe azae alee mana kuuwa nako dhambi ila chanzo kikubwa ni sisi akina mama kuzua ugomvi kana kwamba mwanaume ulitoka nae tumbo moja tusiwe tunabeba mambo ya kuwaumiza wenzetu mioyo yao pole sana.