Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Jamaa aliondoka miaka kibao iliyopita kwenda USA, juzi kati karudi akiwa na mipango ya kurudi kimoja, lkn akaanza kushangaa na kutuuliza maswali kwa nini Barabara aliyoiacha mbovu Mtaani kaikuta vile vile mbovu? Akaanza kutushamblia na kututukana kwamba sisi ni wavivu!
Je, alikuwa sawa kutushambulia? Nikamuuliza yeye alivyoondoka alitegemea nani amjengee barabara? Akasema ilikuwa ni lazima aende,...
Je, alikuwa sawa kutushambulia? Nikamuuliza yeye alivyoondoka alitegemea nani amjengee barabara? Akasema ilikuwa ni lazima aende,...