Recent content by divino

  1. divino

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    [emoji39]
  2. divino

    JamiiForums Tanzania Live: Cheka tu grand finale 2021

    Boom shakalaka
  3. divino

    JamiiForums Tanzania Msaada: Haya mawe ni aina gani?

    Wakuu naomba msaada wa kutambua ni aina gani ya mawe hii mana sijaelewa kabisa au nimepata kokoto?
  4. divino

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Mungu awe nawe mkuu!
  5. divino

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kilimo cha zao la mpira (crude Rubber) Tanzania

    Wapo wachina kwenye misitu huko sao hill. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. divino

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua na kuuza dola

    Mkuu! Tafuta biashara ya kuzalisha Mali! Achana na mbwembwe izi!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. divino

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kufuga nywele. Naombeni tips wazoefu kwenye huu utanashati!

    Ngoja walete majibu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. divino

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

    Wewe wasema Sent using Jamii Forums mobile app
  9. divino

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya msomi aliyeelimika na asiyeelimika....

    Nikiwa mkubwa nataka kuwa rubani
  10. divino

    JamiiForums Tanzania Watu wa hivi tuwaeleweje??

    Mtu kukata tamaa ya kusoma chuo kikuu kwa hofu ya kuto pata ajira. Mtu kukata tamaa ya kupenda kwa hofu ya kutendwa. Mtu kuogopa kufanya biashara fulani kwa hofu ya kupata hasara. Watu wa namna hii wangepewa option na Mungu ya kuzaliwa wangekataa kwa hofu ya kufa. Nyingine mtaongeza!
  11. divino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za msichana anaekupenda kimapenzi lakini hawezi kusema- 02

    Toba!!! Sasa huyu binamu yangu vipi?
  12. divino

    JamiiForums Tanzania Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Hekaya za abunuasi [emoji122]
  13. divino

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Kama kuna watu wachelewaji kwenye fursa basi Mimi ni mmoja wapo! Ilianza D9 nikasita,nikajakusikia wamelizwa,ikaja tmt nikasema nitajipanga nijiunge,ikaja Bitcoin na bei yake kupaa maradufu nikasema nitajipanga ninunue.Ila vyote hivii vimepita kando,naona Mola yu nami.
  14. divino

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Aliwahi kusema mafanikio huja na kiburi hivyo tuwe makini! Lakini naona unabii wake unamrudi mwenyewe,anyway tumwache kijana ale matunda ya kazi zake. Hata mimi ningekuwa Ontario ningekuwa kama yeye tu! Inashangaza mtu kusubiri kusukumiwa call tu,then hela ziteremke kiulaini tu!! "You have to...
Back
Top Bottom