Nataka kujua kilimo cha zao la mpira (crude Rubber) Tanzania

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira?
 
Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira?
Tanga kuna mashamba ya serikali wana lima hilo zao.... nami natafuta namna ya kwenda kupata mbegu
 
Hiki zao katika nchi yetu lipo Dormant

Ila ni zao linaweza kutajirisha mtu maana ukizingatia ni zao la kwenye mti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom