Recent content by Director-k

  1. D

    Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

    BigUp Kwako MSHANA Jr.....Hua Naongeza Kitu Flan Akilin Naposomaga Mada Zako. Japokua C Mchangiaji Sana Ktk Mada Zako Lakn Ni Mfatiliaj Mzur Sana Wa Posts Zako Nyingi, Karibia Zote. Kwa Kiasi Flan Mada Zako Hua Zina Ka Ukwel Flan Hv Endapo Mtu Atazilinganisha Na Uhalisia Wa Maisha Ya Kileo. Hata...
  2. D

    Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

    Kwani Samaki, Dagaa Wanachinjwa??? Lini Ushasikia Samaki Au Dagaa Wakatolewa Kafara?? Hapa Wanaozungumzia Ni Wanyama + Ndege.
  3. D

    Wrong number imenivurugia ndoa

    Chukua BIBLIA (kama mkristo) Au QUR'AN (kama Ni Muislam) Weka Kichwani Mwako Anza Kutoa Viapo Vikali Ukiwa Serious Kua Huyo Mdada Amekosea Tu Namba Si Mpenzi Wako Hamna Uhusiano Nae Na Wala Humjui. Njia Hii Kidoogo Inaweza Kukusaidia Kurudisha Ka Iman Yake Kwako. Pole Sana Mkuu.
  4. D

    Kwa mwenye ufahamu wa suala hili anisaidie

    Ninavutiwa Sana Na Kufanya Biashara 2 Tofauti. 1) Kufungua Huduma Za M-pesa, Tigo Pesa Na Airtel Money Na Kuuza Luku. Lakini Sijui Gharama Zake Na Ni Mtaji Wa Kiasi Gani Unatosha Pia Kuna Changamoto Zipi. 2) Nafikiria Kununua Bajaji Then Nijiajiri Mwenye (niendeshe Mwenyewe) Lakini Sijui...
  5. D

    Wauza sura Mlimani City

    Huna Kazi? "Si Bora Ununue Gazeti Ujippepppeee!!"
  6. D

    Picha: Jakaya Kikwete akibusu mkono wa Papa Benedict

    Hivyo Ndo Freemason Wafanyavyo..! Huwezi Kuongoza Nchi Bila Kua Agent Wa Fm Na Hapo Mkuu Wa Kaya Anarudisha Nguvu Zote Kwa Fm Alizopewa Enz Za Utawala Wake. ROMAN CATOLIC Ndo Waasisi Wa Freemason Dunian Kote, Na Wakitaka Uwe Rais Wa Nchi Flan Utakua Tu Ni Lazima Na Kama Hawakutak Huwez Kua...
  7. D

    Binti matata asababisha maamuzi magumu

    Umenifurahisha Sana Mkuu!
  8. D

    Hawa ombaomba: Je, ni Utamaduni? Umasikini? Au ni tabia?

    Hapo Umenena Vema Mkuu Ndo Maa Mkuu Wa Kaya Safari Za Kwenda U.S.A Haziish Anaenda Kutekeleza Utamadumi Wa Tz Wa Kuombaomba.
  9. D

    Askofu Samson Gwajima amevamiwa

    Hata Nami Nimesikia Clouds Fm Wakitangaza Pia Hali Yake Ni Mbaya Sana.
  10. D

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Mi Sina Chuki Binafsi Mkuu Lakhni Nimeongea Tu Ukwel Kwa Kilichotokea.
  11. D

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Poa Tu Na Nyie Mtaendelea Kuchezewa Miili Yenu Mpaka Mkome, Mnatoa Huduma Hadi Kwa Mkopo..! - Wahaya Hamna Haya.
  12. D

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Ntaomba Vp Kaz Wakat Mnatangaziana Kwa Simu? Wangekua Wanatangaza Kazi Wazi Wazi Kidogo Ungekua Na Point Ya Kusema
  13. D

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Kwa Hiyo Kabila Zoote Hakuna wenye Qualifications Isipokua Wahaya Tu, Shame On U!, ~ My Education Level, 1st Degree. Nawe Taja Elimu Yako! Nahc We Ndo Wale Wa Div 5 Au Div -ve.
  14. D

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Wahaya & Wachaga Mna Tabia Na Mila Za Ajabu Ajabu Ndo Maana Mnasemwa Kila Kona Inatakiwa Mbadilike Achen Ukabila
  15. D

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Inaonekana We Ni Mdogo Wake MPOKI...!!
Back
Top Bottom