Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Kuna wahaya na Wachaga hawa jamaa ni balaa
 
Nyambafu, una matatizo ya fikra, wewe nani hata watu wasiongee lugha yao.

We Mtoa Huduma Mi Sijakukataza Kuongea Kiluga, Lakin Kwenye Kundi La Watu Wa Makabila Tofauti Ongeeni Kiswahili Kila Mtu Aelewe Kinachoongelewa. Ok??
 
Sio kweli mkuu tajiri/bepari jay-millions

Ukitaka kujua undugu upo kila Kabila, angalia wasambaa kariakoo wamekusanyana wanauza migahawa, wanauza maji, tena mmoja akifika dar lazima avute wenzake wasiopungua kumi. Waacheni wahaya aiseee
 
Last edited by a moderator:
Wivu tu huo, wengine naona ni hasira za kukosa mgawo wa ESCROW?
 
Ubaguzi wa aina yoyote haufai.
lakini MTU kuongea Lugha yake asilia sio kosa.LA sivyo ingekuwa kosa kuzaliwa katika kabila Fulani.Lugha zote zina haki sawa.
Kaka sio ubaguzi sio siri soko la Ilala ni kama vile upo sokoni Hamugembe au Kyetema,pale kila kitengo hata ukitaka kuuza mtumba hupati nafasi ,mpaka uwe Mhaya,Wahaya ndio wabaguzi walikaribishwa pale sokoni wakaitana wakapiga jungu na mwishowe wakaliteka hilo soko,wewe unayesema ni ubaguzi humu mtandaoni tafadhali tembelea hilo soko ndio utaelewa sisi tunachokisema.
 
Dawa ya kuua ukabila ni kusoma na kuelimika.
Kusoma ni jambo moja kuelimika ni jingine.
Tukielimika tutatumia elimu yetu kutatua matatizo ya kila tulipo kwa kujiajiri.
Hatutasubirikuajiriwa.
Tikisoma na kubaki na vyeti mkononi tutatafuta ajira.

Huu ni ukweli ulio uchi.:becky:

Kuna dogo aliniomba 2M nikampa akanunua Pikipiki sijui Boxer sasa akaniambia mfuniko wa Tangi la oil umetengenezwa kwa chuma hafifu chuma cha udongo.
Nikamwambia namna ya kuyeyusha Aluminium au Brass na kumimina kutengeneza mfuniko imara.
simple-aluminum-casting-melting-aluminum.jpg

Ur really blessed, I'm proud of you
 
Ulipotaja wahaya mimi nilidhani ni wahaya wa enzi zile walokua wanatoa hudma ya chapchap kwa wanaume wakware.
enzi zile dala unakula mzigo ndani ya kibanda. vijana wa dot.com mambo yaho hamyajui. nyie mnajua vyangudoa wa meeda na mapambano na buguruni na Rambo Manzese.
 
Ukitaka kujua undugu upo kila Kabila, angalia wasambaa kariakoo wamekusanyana wanauza migahawa, wanauza maji, tena mmoja akifika dar lazima avute wenzake wasiopungua kumi. Waacheni wahaya aiseee

Inaonekana We Ni Mdogo Wake MPOKI...!!
 
Tunachukua muda wetu mwingi kuengelea watu, hii pekee yake bila kujali tunamsema nani ni SHIDAAAAA.
Tuongelee vitu, Tukiongelea vitu huku tukiyatamani kwa moyo maendeleo ya watu nina uhakika 100% ndani ya miaka 7 tutakiwa karibu kuyafikia matawi ya juu.

Ubarikiwe.

Ur really blessed, I'm proud of you
 
Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari

Ndiyo maana Mwalimu alisema kabila kubwa halifsi kumtoa rais wa Tanzania. Mhaya, Mchagga, Mhehe,Msukuma,Mnyakyusa,Mngoni,Mnyamwzi,Msambaa watabaki na uwaziri kwenda chini. Kwa hiyo mwaka huu kwa ccm ni Membe,Sumaye, Lowasa, na Pinda tu. Kwa UKAWA ni Slaa tu.
 
Back
Top Bottom