Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 743
Tukunje mabati yetu wenyewe.
Ho Metal Roller inakunja bati katika shepu kibao.
Ho Metal Roller inakunja bati katika shepu kibao.
Hivi kwa nini humu JF watu wana chuki na wahaya na wachaga? Mi nadhani ingekuwa watu wana uwezo wa kubadili kabila, wengi wangehamia haya makabila kwani mengi yanayoongelewa humu ni wivu tu.
Hivi kwa nini humu JF watu wana chuki na wahaya na wachaga? Mi nadhani ingekuwa watu wana uwezo wa kubadili kabila, wengi wangehamia haya makabila kwani mengi yanayoongelewa humu ni wivu tu.
Mna chuki binafsi.
Hivi kwa nini humu JF watu wana chuki na wahaya na wachaga? Mi nadhani ingekuwa watu wana uwezo wa kubadili kabila, wengi wangehamia haya makabila kwani mengi yanayoongelewa humu ni wivu tu.
Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari
Sasa wewe unasikia soko linajaa wahaya, hiyo ni tabia ya kuilea kweli! Baada ya kusema na sisi wanyakyusa tufanye kama wahaya ni bora kubomoa ufalme wao
Wahaya & Wachaga Mna Tabia Na Mila Za Ajabu Ajabu Ndo Maana Mnasemwa Kila Kona Inatakiwa Mbadilike Achen Ukabila
Ni mbegu iliyoachwa na Wakoloni.
Ni makusudi yaliyofanywa na Muingereza.
Ni njama zenye nia ya kuendelea kututenganisha.
Ni Ukoloni Mamboleo( NEO Coloniolism)
Mti uzaao mbegu hii ni lazima ukatwe vipandevipande uwekwe katika lundo kubwa umwagiwe mafuta ya taa na kupigwa kiberiti.
Kisha jivu lake kuzolewa na kutupwa baharini huku tukitoa sala ya nia ya moyoni kabisa ya kulaani na kuseta Roho chafu ya mti ule na aliyepanda mbegu yake.
Hii ni hadithi inayojirudia kila mahali Mkoloni alipopita.
Unaelimisha watu wachache kwa wingi, ili wewe mkoloni ukiondoka itokee vacuum ugomvi usiishe ili wenye akili za uvivu waseme heri wakati wa Mkoloni na hivyo kuendelea kuwaabudu.
Ugomvi wa Mipaka pia ni mbegu chafu ya Mkoloni Muingereza( Kashmiri India, Lake Nyasa Tanzania etc)
Ingekuwa Walifuata uwingi wa watu ,Shule nyingi zingejengwa Shinyanga, Mwanza na Tabora kwa sababu Wasukuma pekee yao ni karibu NUSU ya Population ya Tanzania ukijumrisha na Wanyamwezi ni zaidi ya Nusu.
Lakini Wasukuma na Wanyamwezi pamoja na uwingi wao shule hakuna ya kutosha. With relation to their number.
Nusu ya wasukuma wakienda Shule kila katika kila watu 4 waliosoma mmoja angekuwa msukuma.
Wazungu waliogopa sana hiyo kitu.
Ninyi mnaochukia Wahaya na Wachagga ni Victims wa NEO Colonialism. STOP BEING VICTIMS.:thinking::thinking::thinking:
Tuna Mbegu iliyopandwa tayari kuvunja, kuharibu na kubomoa ujinga alopanda Muingereza( Shule za KATA)
Hizi ni shule zilizopo kila Kata, Unless kata nzima imejaa wapumbavu na akina hamnazo.
Tukiziendeleza Shule hizi kwa Akili zetu zote na Moyo wetu wote, maana yake sisi wana kata tukijitolea Muda wetu fedha zetu Elimu yetu Uwezo wetu wa Kuinfluence sioni ni vipi tutaendeleza gumzo hili chafu la kudhani kazi zote wamechukua Wahaya na Wachagga.
Kuna Kata Kule Iringa badala ya shule 1 zina shule 3 na bado wana mpango wa kuziongeza.
Kuna kazi za kutengeneza zana za Udongo
Kuna kazi za kutumia miti kutengeneza vifaa vya nyumbani na ofisini
Kuna Kutengeneza Hydram kwaajili ya kupampu maji
nk
Tusome tuelimike, tuitumie elimu yetu kutatua matatizo yanayotukabiri pale tunapoishi, mzizi wa fitina utang'oka wenyewe.
STAY BLESSED.
Rudi shule upate maarifa zaidi badala ya kuja na hoja za uwongo na wivu!
Ina maana we huoni kinachoendelea pale tff? Full tribalism
Kabila gani lisilotoa huduma hiyo? Mbona dadazako wanatoa bure??
Mie sioni tatizo labda kama tatizo litakuwa kabila la wahaya,kama uliwahi kwenda machinjioni hapa dar mtaelewa nachokisema,kule bwana ndugu zetu kutoka Dodoma ndo wamepiga kambi Kule lakini binafsi siwezi kulalamika kuhusu hilo,labda wana passion na kazi hiyo ama labda wengine hawaoneshi kuitaka hiyo kazi basi tuwaache waliona kwao wanaweza wakaifanya na kujazana basi wafanye ukizingatia watu tumekuja mjini kufanya kazi na si kuuza sura na kupaka rangi kucha
Hivi kwa nini humu JF watu wana chuki na wahaya na wachaga? Mi nadhani ingekuwa watu wana uwezo wa kubadili kabila, wengi wangehamia haya makabila kwani mengi yanayoongelewa humu ni wivu tu.