SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
jamaa kanichoka sana
Kaka sijakuchoka hata kidogo, ila namimi nakumbuka siku ya kwanza kulala na mwanamke mpaka asubuhi. aisee halafu muda woote hana kyupi. Wakati zamani nilizoea kupewa kwa kunyanyaswa, sasa siku ile..... we wacha tu, ukiambiwa siku hizi nakaaga wiki sijaigusa....tehetehe