Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari

na hawawezi kupewa nchi watu hao, haitatokea, wanafahamika juu ya vijitabia vyao vya ubaguzi hadi maofisini tangu enzi za mwalimu, watakuwa washangiliaji tuu, kupanda jukwaa la uongozi mkuu wa nchi ni never, Wanafahamika hao
 
Mimi mwenyewe infact ni mhaya but vitendo kama hivi ni dhambi naunga mkono for firing the management. Tanzania nchi ya wote much love!
 
sawa, una 1st degree,of which i'm not sure, jee uliwahi kuomba hizo post ukanyimwa, au ndio majungu tu because we are thousand miles away from you? kwa mujibu wa taratibu za ajira soma magazeti, sikiliza redio and watch tv huko ndio advertisments za vitengo tofauti zinatoka, nani kakwambia there is nepotism? tuache tuinjoy ?

Ntaomba Vp Kaz Wakat Mnatangaziana Kwa Simu? Wangekua Wanatangaza Kazi Wazi Wazi Kidogo Ungekua Na Point Ya Kusema
 
Machinjioni si tu wagogo, pia hata kidini waislamu, hao wachinje tu maana wakristo kwa ujumla hatupendi kuchinja, sasa kazi ya kukusanya ushuru na maeneo ya biashara si kwa kabila kujipendelea. Watu walihitaji kazi wakatupwa nje kwa kuwa si wahaya, hilo ndio halikubaliki katika nchi hii. Kaburu hata kama ni mweusi ili mradi ana mawazo ya mkaburu wa South yeye pia ni Kaburu, kama ninavyomnukuu nyerere. Wagogo hawajambagua mtu

Kwaheri!!
 
Kila kabila lina matatizo yake, lakini makabila yenye tabia za ubaguzi wa kupitiliza kama wahaya hayakubaliki katika jamii, ukabila na udini ndio tabia pekee nyerere alizikataa, kwanza ni roho ya uchoyo, na Yesu alituambia tujilinde na choyo, ni sawa na kusema jilindeni na uhaya, hata mhaya anaweza jilinda na uhaya akijikana nafsi yake

Hv unapopew tenda unapangiwa idadi ya watu wa kuajiri? Anyway wew ni kabila gani.... Tujuane kwanza

Mama yangu ni mhaya na baba ni mnyaturu

mhm pole sana geomos, inaelekea yote haya ume experience toka kwa mama yako na ndugu zake......

ila hapo chini sijakuelewa ...mama yako si muhaya..!tehteh..
Siwezi penda kuwa mhaya hata kama ningeambiwa nichague kuzaliwa tena,
 
infwact, mtoa mada una chuki binafsi, sasa if they have qualifications kwa nini wasikamate vitengo. Taja you education kwanza kabla ya kulialia!!

hata kazi za kufagia na kutoza ushuru wa gurio inakuwa nongwa,??kazi tunayo.vipi mkienda hazina mkawakuta jamaa waliopo kule itakuwa vp?
 
Kukusanya ushuru ni tenda ya serikali, yaani serikali inakupa department yake kwa faida uisaidie huku ukilinda usawa wa sura yake, maana unafanya kwa mamlaka yake na policy zake. Si sawa na biashara ya kutunga wewe, unaweza ukaajiri hata bibi na babu yako ukaacha kijana msukuma, hiyo ni shughuli yako,haitaihusu umma

Soko la Kariakoo si ni mali ya umma?Ubaguzi maeneo ya kazi unakatazwa haıjalishi ni binafsı au umma.
 
Waacheni wahaya wale mema ya nchi na mbwembwe zao zote wanafagia sokoni haaaa haaaaa
 
sawa, una 1st degree,of which i'm not sure, jee uliwahi kuomba hizo post ukanyimwa, au ndio majungu tu because we are thousand miles away from you? kwa mujibu wa taratibu za ajira soma magazeti, sikiliza redio and watch tv huko ndio advertisments za vitengo tofauti zinatoka, nani kakwambia there is nepotism? tuache tuinjoy ?

Suala LA kusoma magazet kusikiliza redio suala no kwamba wapo wanaoendekeza ukabila pale mnapopelwka maombi ya kaz sehem huska japo nyote mnqa vigezo lkn kamq siyo kabila lake huwez kupata kaz hasa hawa wahaya hawa, shame on you.
 
Back
Top Bottom