Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

Katika tangazo la tenda machokubaliana ni masharti na vigezo... Lkn hakuna tenda yenye kigezo cha mtu anaekusanya ushuru awe kabila flan... Na kwa ufupi yule aliepewa tenda ameweka mtaji wake na analipa kodi kama mwenye duka kariakoo.... Kwa ufupu ni kwamba wamefukuzwa obvious tender iko wazi wew pia unaweza ukaomba ili uwe mfano na si kulalamika humu ndani

Kama hayo unayoyasema ni kweli na ninavyojua wahaya wanavyopenda vikesi basi mada ingekuwa mahakamani. Kama ni hivyo kwamba tenda unaeza ifanya biashara ya bibi mbona wamefukuzwa? Tenda unaianza kwa fedha yako halafu serikali inakulipa kwa faida, na kwenye ripoti za maendeleo inatangazwa na serikali kuwa ni moja ya kazi iliyoifanya, si kazi yako, na wananchi wanakupokea wewe kama mserikali si mtu binafsi, kwa hiyo ni uelewa, hamjaonewa hapo. Mmekosa maarifa ya kuishi na jamii ya umma
 
Hv unapopew tenda unapangiwa idadi ya watu wa kuajiri? Anyway wew ni kabila gani.... Tujuane kwanza
 
Infwact, mtoa mada una chuki binafsi, sasa if they have qualifications kwa nini wasikamate vitengo. taja you education kwanza kabla ya kulialia!!
 
Una uhakika au unaropoka
Maana ukiwa msasani kwa wahaya, ukiwa temeke wapo, manzese wapo, mwananyamala wapo kote huku ni huduma wanatoa sasa unapanick ili iweje?

Waliopo kona bar, kino makaburini, kimboka, sugar rays, nk. Ni Kabila gani? Mbona uswahilini tunawatigo dadazako bila malipo yoyote na hatujawapost
 
Mimi ni mchaga..ofisi nying nyet tumeshka sisi na hatutumii majina ya kichaga ,,labda niwe dokter, mbona mnashambulia wahaya tu mulikeni hata cc!!
 
tupunguze ukali wa maneno jamani, ndugu zetu hawa wana uzalendo sana na siyo ukabila, ukabila ulizeni uko rwanda hapa kwetu hakuna ukabila tumshukuru sana Mwalimu,
 
mimi ni makonde wa mtwara lkn kwa uzowefu wangu wa kuishi mjini kwa miaka 20 sasa, sisi hatuna umoja au uzalendo kama wahaya, tunachokiona kama ukabila kwa ndugu zetu hawa ni ushikamano au uzalendo kwa ndugu zao, wanashikana mikono sana wahaya, mi nawapongeza kwa hilo
lkn kabila langu ukimkuta bos mahali fulani awawezi hata kukufanyia uzalendo, eti kuna usemi maarufu kule kwetu usemao [ anapata dauu ]
maana yake kwamba mmakonde mwezako awezi kukusaidia kwa vile akikusadia we utapata zaidi yake
 
Infwact, mtoa mada una chuki binafsi, sasa if they have qualifications kwa nini wasikamate vitengo. taja you education kwanza kabla ya kulialia!!

Kwa Hiyo Kabila Zoote Hakuna wenye Qualifications Isipokua Wahaya Tu, Shame On U!, ~ My Education Level, 1st Degree. Nawe Taja Elimu Yako! Nahc We Ndo Wale Wa Div 5 Au Div -ve.
 
Ulianza baada ya baba yetu, kiongozi wetu shupavu, mtetezi wa haki zetu bila kujali rangi, dini na kabila almarhum Julius Kambarage Nyerere kung'atuka.

Hapana si kweli. Nilikuwepo, ulianza wakati wake.
 
Makabila yanayokula ndizi haya ni shida tupu kuanzia nyakyusa,wahaya ,na wachaga ndiyo more than worse aiseehh!!

Hayo Makabila yanaonesha kuwa na mafanikio kielimu na kiuchumi, uenda kuna siri kubwa kwenye ndizi
 
Ni Kwel Mkuu Lakini Kistaarabu Kama Mpo Watu Wa Kabila Tofaut Si Vizuri Kuongea Kiluga Chenu Wengne Hawatawaelewa Na Watahc Mnawateta Ni Vema Mkaongea Luga Ya Taifa Kiswahl.

Nimekaa shinyanga hakuna watu wanaongea lugha yao kama wasukuma na wakikutana wawili hata kama mpo mia lazima waongee kisukuma.
 
Kwa Hiyo Kabila Zoote Hakuna wenye Qualifications Isipokua Wahaya Tu, Shame On U!, ~ My Education Level, 1st Degree. Nawe Taja Elimu Yako! Nahc We Ndo Wale Wa Div 5 Au Div -ve.
sawa, una 1st degree,of which i'm not sure, jee uliwahi kuomba hizo post ukanyimwa, au ndio majungu tu because we are thousand miles away from you? kwa mujibu wa taratibu za ajira soma magazeti, sikiliza redio and watch tv huko ndio advertisments za vitengo tofauti zinatoka, nani kakwambia there is nepotism? tuache tuinjoy ?
 
Back
Top Bottom