mshana jr I respect you a lot my brother, but let me tell you this hakuna ibada pasipo na manuizo.. kanisani huwa tunasisitiza kuwa uwapo kanisani lazima nafsi yako imaanishe. soma You 4:23,24 lazima uandae nafsi na moyo kwa ajili ya ibada. sasa uniambie kuwa nikiinua kisu na kushusha ili kukata keki eti ni ushetani sikuelewi. jaribu kujenga hoja connection ya kiroho ikoje ikiwa hakuna manuizo wala maneno ya maagano au mapatano
Ndio maana nikasema tunatekeleza ibada tusizozijua na bila kufahamu, labda hebu tujadiliane kwa pamoja nini maana ya keki kwenye matukio na sherehe mbalimbali?
Kwenye keki na ndafu kisu uma na siku hizi stiki ni ada, na ni tendo la kipekee tofauti na vyakula vingine ambavyo vina mbadala
Pata hii picha kuna sherehe yenye keki au pengine ndafu kikikosekana kisu na uma vyaweza zua zogo na hata mleta keki kushushiwa mzigo wa lawama...tafakari
Ndio maana nikasema tunatekeleza ibada tusizozijua na bila kufahamu, labda hebu tujadiliane kwa pamoja nini maana ya keki kwenye matukio na sherehe mbalimbali?
Vipi kuhusu perfumes na udi? Mawigi? Kucha za bandia? Nasikia hutoka kuzimu, unasemaje?
Vipi kasumba ya kuvaa mavazi meusi kwenye msiba?
mshana jr keki ya ndafu ni ishara ya heshima ya heshima ambayo wazazi hupewa. mbuzi beberu ni mnyama anayeheshimika sana ambapo wakati wa harusi heshima hii hupewa wazazi kama kiashiria cha shukrani.
Labda nikujuze katika kafara kondoo huchinjwa na damu yake huachwa imwagike kwa ajili ya mizimu
Haya ni mazoea ya kuiga na ya kimapokeo ina maana keki isipokuwepo heshima hakuna? Kikubwa ninschoongelea ni yale matendo ya kukata keki na hiyo ndafu! Kama ni heshima sawa basi abanikwe/aokwe vizuri akatwekatwe aletwe kwenye vyombo watu wale wa shibe kusiwe na tukio maalum la kumkata kata akiwa kwenye umbo lake kamili
Kuhusu huyo beberu angalia alama mojawapo ya freemason ni kichwa cha beberu ngoja nitakupakulia picha uone
duuuh sasa asipokatwa ataliwaje!?
bila kukatwa!? pia mambo ya kafara yanahusisha nyama mbichi na damu mbichi! vp ebu tueleze kuhusu kisusio!?


Angalia hizo picha kuna alama ya G (Goat?) Kuna uma(mkuki?) Na kwenye paji kuna msalaba uliongalia chini (alama ya mpinga Kristo) nitarejea
Zanzibar Spices inabidi sasa niende in deep ili kuweza kureveal kile kilichomo nyuma ya pazia hivi unajua hata hizi nyota mikao yake ina maana kubwa?We Mshana hayo mambo yenu mliokuwa mkifanya huko kwenye kampi ya Feemason usitulteee humu.
Ila kwenye suala la kula huku umesimama hao kidogo kichwani linakuja.Kimaandiko ya heshima ya chakula
Kirusi ni kimelea kibaya sana kikiingia popote huchafua hali ya hewa kama ni chakula au chakunywa ukikitumia tu tegemea kuchafukwa na tumbo, kama ni kitandani akakuuma mbu mwenye Kirusi cha malaria humalizi wiki, ofisini safarini kwenye sherehe popote pale Kirusi kiharibifu kikitia timu mambo yote huharibika
Kwa muktadha huo hata JF virusi Vipo, mnajadiliana kwa hoja lakini virusi vikishaingia post yote huharibika na kubakia na majibizano yasiyo na tija hizi ni roho zilizojaa mahangaiko daima hutafuta pa kuleta dhahama kwa hoja nyepesi na za kipuuzi
na baadhi ya watu huficha kichwa hicho kwenye alama zao kwa kutumia nyota lakini nyota yenyewe mguu mmoja ndio unakita/unatazama chini badala ya miwili
mmea utoao matunda haya yenye miba kali hujulikana kama mmea wa kuzimu na hutumiwa sana na waganga kutokana na miba yake kufanana na kichwa cha beberu
Baadhi ya sehemu za makumbusho na bustani za wanyama unaweza kukutana na picha kama hii ukadhani ni urembo tuu lakini tafsiri yake inatisha
mshana jr hv meditation sio mojawapo ya hizo ibada za kishetani!?
Meditation ya kawaida ni 'bringing back the scattered wondering mind into a single focal point' hii ina madhara yake ukiitumia vibaya kwakuwa inakuwa so powerful
Lakini meditation ni kama bangi inategemea unameditate kwanini au kwa lengo gani