kiongozi mkuu wa uongozi wa utozaji ushuru na usafi soko la ilala alikua ni muhaya ikawa kila mtoza ushuru kila kona ya soko ni muhaya.
Soko likajaa watu wa kabila moja tu, kila ikitangazwa kazi wanapewa wahaya tu.
Mamlaka ya soko hilo imeamua kuufukuza uongozi wa utozaji ushuru na usafishaji wa soko sababu zipo nyingi lakini kubwa ni mbili;
1. Ni kukithiri kwa uchafu sokoni, wameshindwa kudhibit uchafu.
2. Ukabila, uongozi una ubaguzi wa kikabila unatoa ajira kwa kabila moja tu (wahaya).
Source: Mi mwenyewe nilikuwepo wakati wa utoaji wa tamko hilo.