Recent content by directa

  1. directa

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    lalage aliwahi mcheat Hendrick...that's fair.
  2. directa

    Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting

    Ni cam nzuri lakini sio industry standard. Ukitaka uenjoy zaidi hio kamera yako, nunua lens nyingine. Sijajua level yako, lkn kwa kuanzia chukua 50mm hi lens iko vizuri kwenye low light. Lkn hio 18-55mm haiko poa kwenye low light. Kamera hio unaweza ukashutia video, lkn hio video ikichezwa...
  3. directa

    Did you just lose your heroes?

    This is Jim Thorpe. Look closely at the photo, you can see that he's wearing different socks and shoes. This wasn't a fashion statement. It was the 1912 Olympics, and Jim, an American Indian from Oklahoma represented the U.S. in track and field. On the morning of his competitions, his shoes were...
  4. directa

    Electrical and electronics engineering

    Habari wana JF. Mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka 2018 kwa Division 2.21 C zote. anataka kwenda kuanza certificate ya electrical and electronics. Ni chuo gani anaweza pata kwa hapa TANZANIA hasa DAR ES SALAAM.
  5. directa

    Hivi hii fursa inawezekana kweli?

    Oh. Hilo swala linawezekana kabisa ndugu, ni kufwata taratibu tu!
  6. directa

    Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

    Eti kwaheri...haya kwaheri.
  7. directa

    Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

    Elimu yangu ya nini? Unataka nipa ajira au?
  8. directa

    Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

    Mwanaume hata uwe na mbwembwe vipi, uwezi mfikisha mkeo keleleni ukilinganisha na lesbian. Jwasababu mwanaume utajitahidi kuchelewa kutoa bao kwa kupunguza friction. Lakn msagaji ahofii hilo.
  9. directa

    Watoto wa Mwanza wanalawitiana

    maswali gani hayooo....inamana hujui kusoma? Au mbwembwe?
  10. directa

    Kwenye Maswala ya mapenzi Wazungu ni Noumar!

    huyo alikuwa ajampenda. Anamtaka tu kimapenzi. Mzungu mbaguzi hataki achanganyiwe damu kwenye ukoo wake. Dada naye hana akilli...wee umeolewa unaenda zaa nje na mume yupo. Na uwezo anao ila hataki.
  11. directa

    Watoto wa Mwanza wanalawitiana

    wapo wawili.?
  12. directa

    Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

    Usifananishe lesbian na mwanaume. Mwanaume anatumia genereta kuwasha umeme na Generata ya mwanaume inatumia petrol, lesbiana hana genereta, hatumii mafuta hana cha kopoteza anapowasha umeme. Yeye anawasha tu umeme. Lkn haimaanishi kuwa wanaume tusiwaridhishe wake zetu.
Back
Top Bottom