Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,422
- 8,735
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mzungu yuko kwenye research... Mwisho wa siku akiconclude "its true they are monkey" mnasema wanatubagua..

mkuu mbona hata hapa bongo wapo watu hawana wivu wameachia wenzao wawadungie mimba wake zao,kumbuka ile habari ya wale askari(trafiki) ambao kuna mmoja alimruhusu mwenzie atembee na mke wake ili apate mimba na hela akawa anamlipa kwa kufanya kazi hiyo na alikua anampa masaa 7 ya kufanya shughuli hiyo kwa mke wakeKwenye hili jukwaa huu utakuwa ni uzi wangu wa 3 kama nitakuwa sijakosea.
Niende 1 kwa 1 kwenye mada. Linapokuja swali la mapenzi, Wazungu ni noma, hawa jamaa hawana wivu kabisa.
Kuna Mzungu m1 Dr yupo hapa nchini kwa muda sasa. Huyu kwa uraia anatokea Finland. Ni mtu wa makamo kwa sasa 50+. Kwa maelezo yake ana watoto wa3. M1 kwa sasa yupo Frankfurt huko ujerumani naye ni Dr pia. Wawili wapo Norway ni maDr watarajiwa.
Huyu bwana yupo kwenye Mahusiano na dada m1 hivi, ambaye alimkuta na mtoto m1. Huyu mdada ana umri kama 30 hivi. Kajengewa nyumba, anasomeshewa mtoto wake, na gharama zote za maisha anaendeshewa na huyu Dr.
Huyu Dr Mungu amefuata taratibu zote na huyu dada ni mke wake kabisa. Yaani kalipa mpaka mahari. Huwa wanaenda naye kwao huko Finland pamoja na mtoto aliyemkuta naye. Kila mwaka lazima waende, haswa baada ya majira ya baridi kuisha.
Kimbembe kipo hapa, huyu dada amejaribu kila njia kuzaa na huyu mzungu lakini imeshindikana. Kwani jamaa hayupo tayari. Kwa maelezo kuwa kwa sasa haitaji kuwa na mtoto. Mdada wa watu kapewa ruksa kutafuta mtu atakayeona anamfaa amzalie mtoto. Hivi navyo andika kuna msela kashamaliza kazi, kabandika mimba ina miezi 7 sasa na Dr wa watu hana habari.
Wanaenda wote Clinic, wamepima wote HIV, mzee wa watu anagharamia. Yaani kwake ni jambo la kawaida. Kaanza maandalizi kwa ajili ya mtoto mtarajiwa.
Nimewaza sana nikaona hawa jamaa Wivu wameacha wapi? Ingekuwa ni sisi ngozi nyeusi sijui ingekuwaje. Hii kitu kwa sisi haitakaa itokee.
Wacha weeee!Huyo mdada ni mshkali wangu. Na alikuja kuomba ushauri. Msela aliyembandika mimba alikuwa mtu wake kabla ya kuzaa huyo mtoto ambaye anaye.
Kwa kifupi namjua nje ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka balaa yani. Nimechukulia ka utani huu ila inawezekana kuna kaukweli. Too good to be real(matendo ya mzungu).Mzungu yuko kwenye research... Mwisho wa siku akiconclude "its true they are monkey" mnasema wanatubagua..
Haaa unasupport??Makofi kwa mzungu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Oya kama kuna madili mengi ya dzain hyo nistue
Ile story ulikuwa ya kweli. Tukio lilitokea German jamaa alikopy na kupest alibadili majina na sehemu. Hii ya huyu Dr nataka moyo sana.mkuu mbona hata hapa bongo wapo watu hawana wivu wameachia wenzao wawadungie mimba wake zao,kumbuka ile habari ya wale askari(trafiki) ambao kuna mmoja alimruhusu mwenzie atembee na mke wake ili apate mimba na hela akawa anamlipa kwa kufanya kazi hiyo na alikua anampa masaa 7 ya kufanya shughuli hiyo kwa mke wake
huyo alikuwa ajampenda. Anamtaka tu kimapenzi.Kwenye hili jukwaa huu utakuwa ni uzi wangu wa 3 kama nitakuwa sijakosea.
Niende 1 kwa 1 kwenye mada. Linapokuja swali la mapenzi, Wazungu ni noma, hawa jamaa hawana wivu kabisa.
Kuna Mzungu m1 Dr yupo hapa nchini kwa muda sasa. Huyu kwa uraia anatokea Finland. Ni mtu wa makamo kwa sasa 50+. Kwa maelezo yake ana watoto wa3. M1 kwa sasa yupo Frankfurt huko ujerumani naye ni Dr pia. Wawili wapo Norway ni maDr watarajiwa.
Huyu bwana yupo kwenye Mahusiano na dada m1 hivi, ambaye alimkuta na mtoto m1. Huyu mdada ana umri kama 30 hivi. Kajengewa nyumba, anasomeshewa mtoto wake, na gharama zote za maisha anaendeshewa na huyu Dr.
Huyu Dr Mungu amefuata taratibu zote na huyu dada ni mke wake kabisa. Yaani kalipa mpaka mahari. Huwa wanaenda naye kwao huko Finland pamoja na mtoto aliyemkuta naye. Kila mwaka lazima waende, haswa baada ya majira ya baridi kuisha.
Kimbembe kipo hapa, huyu dada amejaribu kila njia kuzaa na huyu mzungu lakini imeshindikana. Kwani jamaa hayupo tayari. Kwa maelezo kuwa kwa sasa haitaji kuwa na mtoto. Mdada wa watu kapewa ruksa kutafuta mtu atakayeona anamfaa amzalie mtoto. Hivi navyo andika kuna msela kashamaliza kazi, kabandika mimba ina miezi 7 sasa na Dr wa watu hana habari.
Wanaenda wote Clinic, wamepima wote HIV, mzee wa watu anagharamia. Yaani kwake ni jambo la kawaida. Kaanza maandalizi kwa ajili ya mtoto mtarajiwa.
Nimewaza sana nikaona hawa jamaa Wivu wameacha wapi? Ingekuwa ni sisi ngozi nyeusi sijui ingekuwaje. Hii kitu kwa sisi haitakaa itokee.
Hapana sio kwamba nasapport...la hasha..ila nampongeza mzungu kwa moyo alionaoHaaa unasupport??
Hakumpenda na wala hampendi kimapenzi ila anamhitaji. Kwa hiyo anaweza akawa anampenda sana ila kimamahitaji na siyo kimapenziNimewaza sana nikaona hawa jamaa Wivu wameacha wapi? Ingekuwa ni sisi ngozi nyeusi sijui ingekuwaje. Hii kitu kwa sisi haitakaa itokee.