Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

Ninashangaa mwanaume kushindwa kumridhisha mkeo

Kuna mshkaji wng hajaoa alikuwa ananimbia kuna dem wake anampa feedback eti mshkaji hamridhishi then mshkaji akawa ananionyesha feedbacks za wanawake wengine wanavyo appreciate na kuhitaji show nyingine,,, HAYA MAMBO HAYAELEWEKAGI
Wanawake wanatofautiana maumbile kama vile walivyo wanaume inawezekana huyu dada hakumjulia ni sehemu ipi anayo mkuna kisawa sawa
 
Tatizo sio kuridhisha mwanake ni kuridhishana jaman heeeee
 
Kuna mshkaji wng hajaoa alikuwa ananimbia kuna dem wake anampa feedback eti mshkaji hamridhishi then mshkaji akawa ananionyesha feedbacks za wanawake wengine wanavyo appreciate na kuhitaji show nyingine,,, HAYA MAMBO HAYAELEWEKAGI
Duh
 
Unajua kuwaridhisha nyinyi hakuhitaji ubaunsa .....kunahitaji utaalamu zaidi kuliko nguvu.... Waswahili wanasema "mvuvi amjua pweza alipo"
Mbiti wacha kufukua makaburi... Nadhani hujasomea Kazi hio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Cc:MBITIYAZA
 
Inakuwaje mwanaume mzima ukiwa na zana zote unashindwa kumridhisha mkeo. Wale Malesbian hawana 'vifaa' muhimu lakini bado wanawaridhisha wenzao sembuse wewe mwanaume mwenzangu? Mapenzi ni fani tujifunze kabla hatujaanza kuibiwa.

Nawasilisha.
Usifananishe lesbian na mwanaume. Mwanaume anatumia genereta kuwasha umeme na Generata ya mwanaume inatumia petrol, lesbiana hana genereta, hatumii mafuta hana cha kopoteza anapowasha umeme. Yeye anawasha tu umeme.

Lkn haimaanishi kuwa wanaume tusiwaridhishe wake zetu.
 
Back
Top Bottom