Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Watoto wa Mwanza wanalawitiana

maswali gani hayooo....inamana hujui kusoma? Au mbwembwe?
...nilikuuliza swali "?? badala ya kujibu na wewe ukauliza swali "... " imeletea mkanganyiko " kidogo..."" anyway"" ....kwa heri ""....
 
Taarifa kutoka azam TV huko mwanza watoto wasio pungua 20 wanafanya mchezo huu mchafu, Taarifa zinasema kwamba huwa wa na kwenda kwenye mapango kulawitiana, wananchi wamekuwa na hofu juu ya tabia chafu hii.

Mbaya zaidi wale walio haribika katika tabia hii huwaharibu ndugu zao majumbani, mambo haya tumekuwa tukiyasikia mkowa wa pwani na zanzibar sana, ambapo watoto kulawitiwa na watu wazima.

Mungu atulinde na vizazi vyetu, maana hii ni laana
Screenshot_20180706-213245.jpg
 
Watoto wenye umri wa miaka 12-22.

Kwa Tanzania Age of majority huanzia 18yrs na kuendelea.Hivyo ingekuwa vizuri kama ungeandika watoto wa 12-17 wamelawitiana. Hata kama umeikopi hiyo habari ulitakiwa kufikiri na kuchukulia hilo jambo nje ya box Mkuu.
 
Aiseeee... imani hizi " ukifikaga mwezi mtukufu sihuwaga mnasema kuwa shetani anafungwa minyorolo" sasa hao Watoto nao vipi " au shetani wao " ametoroka"""?
We mwenyewe Ni shetani coz anaeamrisha na kushawishi uovu yeyote yule Ni shetani hiyo ndio tafsr ya shetan kiarab,sasa Kuna shetani wa kijini na shetani wa kibinadamu sasa mashetani wa kijini wanafungiwa wakat wa ramadhan ila mashetani wa kibinadamu bado mpo Kama ulivo wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni tafasiri siri ya kiarabu .. kwa tafasiri ya kiarabu pia jina lako lina mantiki ya kuwa wewe ni shoga _ ..... so wataka kuniambia kwamba wewe utakuwa ni shoga kweli " .... yaani kwanini uwe mtanzania halafu uishi nfumo wa maisha yako kwa kuamuliwa na race ya watu wa taifa lingine " ningekuona wa maana sana na mwenye akili timamu kama ungetumia kiswahili ili kunionyesha mantiki ya hilo neno shetani ... hahaa kumbe wewe ni mwarabu mweusi
 
Shetani siyo neno la kiswahili ndugu wewe umesomea wapi hujui kuwa maneno ya kiswahili yametoholewa kutoka katka lugha za kigeni,hivo Basi neno shetani asili yake Ni kiarab na hiyo ndo tafsr yake sawa shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni tafasiri siri ya kiarabu .. kwa tafasiri ya kiarabu pia jina lako lina mantiki ya kuwa wewe ni shoga _ ..... so wataka kuniambia kwamba wewe utakuwa ni shoga kweli " .... yaani kwanini uwe mtanzania halafu uishi nfumo wa maisha yako kwa kuamuliwa na race ya watu wa taifa lingine " ningekuona wa maana sana na mwenye akili timamu kama ungetumia kiswahili ili kunionyesha mantiki ya hilo neno shetani ... hahaa kumbe wewe ni mwarabu mweusi
Au jitahid uwe na point katka hoja zako kwa maana neno kiaswhili lenyewe ni kiarab kwa asili yake ,waarabu walivo wakuta watu wa pwani waliwaita wasahel maana yake watu wa pwani na kiswahili Ni kiarab kwa jina lake na kiarab kwa tabia yake hata mwanafunz wa kiswahili wa form three anakushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu tumetikisika kama jamii sasa ufa umeanza kuonekana........hebu wanajamii wenzangu tuache ufala tuanze kunyambua ni wapi kuna hitilafu turekebishe haraka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh wana shade unwanted region ,hawa watoto ni wa kuchapa saana,
 
Back
Top Bottom