Mkuu Mganyizi, nakupa pongezi zangu kwa hii thread yako mkuu. Kama kuna lolote linalowezekana kufanywa na Chadema ni kufungua matawi nchi nzima mijini na vijijini, najua bado kuna mambo mengi ya kufanya lakini kama tutaweza kufanikiwa kwa asilimia kama 60 tu, basi 2015 ccm wakae mkao wa...