Taarifa kwa makame na dr.slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa kwa makame na dr.slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mwanamabadiliko, Nov 4, 2010.

 1. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Kama binadamu naamini makame atajiuzulu kwa vurugu anazo sababisha yeye na tume yake iliyo chaguliwa na ccm, kwani mpaka sasa kuna wa2 wamesha uwawa, na atapata adhabu hiyo mpaka mwisho wa maisha yake, damu ya m2 c nzuri kumwagwa na mwanadamu mwenzio, mh dr.wilbord slaa nakuheshimu sana na ninacho omba uchukue hatua za kisheria dhidi ya hao mafisadi haina haja ya kuanzisha vurugu kila mwananchi anatambua ccm wameshinikiza matokeo dhidi ya tume yake iliyo iteuwa (nec), naamini unapigania haki za watanzania wote bila kujali udini,ukabila na uwezo, ccm wamejaribu kukuchafua wewe na chama kama kinaendekeza udini, kitu ambacho si sahihi, cha kufanya ni ku report nchi wahisani kusitisha misaada ili wajue hali halisi ya watanzania.
   
 2. C

  Criticism Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana ushawishi huo usijidanganye.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wahisani wameisha sema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki
   
 4. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Omba omba wa pwani naona thread yenu. Lini New York?
   
 5. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa wamejiunga wiki hii ili kutuadabisha, lakini wamechemka mbaya!! we will never give a room to change the mission. The mission is incomplete expect more to come. Mapambano yanaendelea hakuna kurudi nyuma hapo akina (GeniusBrain)' na criticism ndo kwanza wanajaribu kuchochea moto uliko kwenye joto zaidi ya mia. Subiri tuone, ila yana mwisho ndugu zangu. Na Mwisho wake huo ni kupata haki ya mtu.
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haki ndiyo hiyo ya kura, mmepewa mmechemsha sasa mwataka ipi tena ???????????????????????????????
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanaogopa kusema siyo huru na haki kwani yanaweza kutokea kama yale ya Ethiopia (2005) na Kenya (2007). Hawataki Miafrika ikauana ovyo wenyewe kwa wenyewe kutokana na opinion zao (EU).

  Wanaona bora hiyo Miafrika iuane yenyewe kwa yenyewe bila wao kuhusishwa.
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
   
 9. d

  dotto JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa prelimanary report sio final. Unadanganya.
   
 10. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,737
  Likes Received: 3,170
  Trophy Points: 280
  Wewe geniusbrain kasome vizuri report ya EU wamesema wao hawataondoka nchini mpaka kila kitu kikamilike kwa maana kwamba mpaka kumwapisha rais aliyechaguliwa ndipo watatoa report yao. Sasa wewe sijui kichwa yako haina akili?
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  crap
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  are you gay?
   
 13. M

  Mantaleka Senior Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua unapomkamata mwizi na kumfikisha kwenye vyombo husika na halafu asifanywe chochote na badala yake anarudi mtaani na kujidai, unategemea wananchi, huyo mtu watamfanyeje ! mob justice itachukua mkondo wake, na ndicho kitakacho fuata hivi karibuni.
   
Loading...