Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Mkuu napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa ndugu yetu na rafiki yetu kwenye JF, kwa kuweza kufaulu viva voce examination na kutunukiwa shahada ya juu (Doctor of Philosophy) PhD. Najua umehangaika kwa muda mrefu na machapisho yako yamesimama. Hongera sana kamanda, walau wewe umehangaika si kama kilaza Kikwete aliyepewa bila kuhangaika. Hongera Dr Ndege ya uchumi taifa linakuhitaji
Rev Masa K
Rev Masa K