Nataka kuoa aliyekuwa demu wa mshikaji wangu!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
205
Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.
 
Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
21
Swali...!

Umemu-engage ili iweje? Au sababu za kumu-engage ni nini haswa?

Manake mimi ninavojua unafanya engagement kwa mtu unaetaka kumuoa...! Unless iwe unafanya hivo kumdanganya tu...!
 
doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,170
1,693
bila shaka umeshachakachua tayari; arafu unaleta habari hii tutani. ilitakiwa kabla ya yapo mlipofika uuombe ushari! POLE!
 
Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,934
1,509
Wewe ndo itakuwa umeharibu mapenzi ya rafiki yako ili umpate! mpaka umemchumbia unaomba ushauri wanini sasa!?? MUOE tu ila ujue kila mla huliwa pia! JAMAA AKIENDELEA KUMEGA USISIKITIKE WE NI MSALITI WA RAFIKI YAKO!
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,208
8,681
Tabia hii ni kongwe sana kwa wanaume...Ukiona mwanaume anakuja kuulizia hbr za mwanamke ujue kuwa alishampenda zamani sana...na huenda pia 'alishamchakachua"(kwa mujibu wa DOUP.)
Ku'engage ni hatua kubwa tu katika process za uchumba, kwahiyo inaonyesha ulishamtizamia siku mingi!
Lakini umepata kujiuliza kwanini alitemana na jamaa yako?...hapo ndo kwenye ishu!
Na je umejaribu kuwaza kwamba huenda anaweza akamwona anayemfaa zaidi kuliko wewe huko mbele ya safari?

Chukua hatua!
 
GFM

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
706
6
Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.

Sasa mbona umeshamaliza ndo unatuuliza? au unatutaarifu. Mi nadhani wewe ndio mwenye mtihani maana jamaa yako alishasoma bioligia hapo, sasa kama hiyo haikusumbui basi endelea kugandamiza. Kuna sred moja humu mtu kauliza kuwasiliana na X-BF/GF ni tatizo? jaribu kuipitia pia itakusaidia. maana usija ukakuta wanasalimia njiani ukabeba silaa ..........Gudi laki.......
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.

Wakati una muingage ulimwomba nani ushauri?? Do what your heart tells you to do.
 
DICTATOR

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
391
3
Endeleea! kama unaona uko poa, na unajisikia saaaafi bila kuharibu uhusino na jamaa wako wa karibu na umeweka kila kitu wazi kwa jamaa yako then Go ahead mkuu. Ila navyojua lazima kuna ugumu fulani kama hujaweka mambo wazi kwa jamaa yako wa karibu.
 
Logician

Senior Member
Nov 5, 2010
176
31
Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.

Kama unmemchumbia unataka ushauri wa aina gani? umeshafika mbali na umefanya decision. ......
 
Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,504
1,740
kwele kabisa.....DR. SLAA KAHARIBU WENGI HUMU....kila mtu anataka kuchukua mfano wake....... kweli kiongozi mbaya hurithisha mabaya jamii anayoiongoza
 
RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,371
1,516
Huyo demu atakuwa anatamaa tu!! anyway, kuwa makini yasijekutokea kama yaliyotokea kwa rafiki yako wa karibu.
 
Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
We oa kiporo cha mshikaji. Unajiona bingwa kumbe jamaa anakucheka kwa madhaifu ya huyo demu. Tutumie kadi za mchango
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,600
4,786
We oa kiporo cha mshikaji. Unajiona bingwa kumbe jamaa anakucheka kwa madhaifu ya huyo demu. Tutumie kadi za mchango

sasa tatizo ni nini hapo? kama mshkaji hamaind we oa tu kaka, mwisho wa siku cha muhimu ni furaha yenu
hayo mambo ya kiporo sio ishu kwani hamna ambaye anauhakika kaoa/olewa mwanamke/mwanaume ambaye hajachakachuliwa

kila mtu ni kiporo kwa mwingine we kamata kifaa hicho mjenge familia
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
9,256
ushauri mzuri utaupata ukieleza kisa cha huyo demu kuachana na rafiki yako

1) ikiwa waligombana kwa kutoaminiana, kwamba demu anamegwa nje na jamaa alimuacha kwa sababu hiyo, basi wewe na huyo jamaa urafiki utakuwa mashakani kwani atakuhisi ulikuwa unam,megea tangu kitambo
2)kama ulikuwa karibu yao sana na ulikuwa ndio mshauri wa rafiki yako na msuluhishi wa mambo yao basi ujue urafiki pia utakuwa na mashaka
3) kama waliachana kwa amani say jamaa aliamua kuoa demu mwingine na demu alipata jamaa mwingine badala ya rafiki yako basi inaweza kusound vizuri

all in all urafiki wako na huyo jamaa una asilimia kubwa ya kuisha
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,386
7,212
umesema alikua demu wa zamani wa mshkaji wako but for now she is urs sasa atamind nini wakati walishaachana? na umeshamu-engage sasa unataka usahauri wa nini wakati engagement ni hatua ya mwisho ya ndoa
 
Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
41
hata kama akiweka mambo wazi kwa jamaa wake ni lazima jamaa atajua tu kuwa kumbe walikuwa na mahusiano toka zamani kabla hata ya yeye kuachana,hii ni hata ri sana wala sio siri,kwa ushauri wangu kama ulikuwa bado hujachakachua ni bora ungemwacha kabisa huyo mwanamke.kumbuka kuwa jamaa wako atakuchukia daima.
Endeleea! kama unaona uko poa, na unajisikia saaaafi bila kuharibu uhusino na jamaa wako wa karibu na umeweka kila kitu wazi kwa jamaa yako then Go ahead mkuu. Ila navyojua lazima kuna ugumu fulani kama hujaweka mambo wazi kwa jamaa yako wa karibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom