Recent content by DICKIES

  1. D

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Train raha tupu!

    Ratiba ya treni ikoje?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke: Namna ya kujiondoa kutoka katika hisia za usaliti wa mapenzi…………….!

    Hiyo maada nyengine ndio mpango mzima mara nyingi wengi wetu hujikuta bado tuna hisia na wapenzi ambao tumesha achana nao!! DaAah,naisubiri sana hiyo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

    :yawn::yawn::spy::spy:
  4. D

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Leo Uchaguzi So Need Your Prayers!!

    Goodluck!!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    Naunga mkono!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

    Serikali mnazidi ku'prove madudu yenu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda yuko sahihi

    Inasikitisha kiukweli maana baada ya sensa kufanyika na hawa jamaa kupata idadi ndogo ya waislamu dhidi ya matarajio yao,lazima walalame kua kitu kitu kimechakachuliwa maana kabla hapa wanajigamba kwa kusema sisi makafiri hatuna lolote kwa kua twaoa mke mmoja na wao waoa hata wake wanne...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    Wakuu,mkuu Babito katia hoja pale..ni bora kuijibu ile hoja kuliko kuendelea kumpondonda mwakyembe kwa hoja ambazo hazina mashiko!!!hata kama ikiwa ni pesa kidogo ila kwa shirika la serikali kufanya manunuzi bila kufata sheria huo ni upuuzi!!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    Mkuu timbilimu hapo hujajibu hoja za Babito za kumfanya Jamaa yako abaki..
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Lema ametisha!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe ageukwa

    Nahisi kua huyu bwana Paul angekua muislamu yani lile picha la muamsho ndio lingezidi utamu kule kwetu kulee
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    John mungu yupo nawe na twaamini hukutumia dhuluma kuwepo ulipo na utabaki ulipo mkuu nakumbuka day ulipokuja kutuomba kura pale kimara ukiongozana na Mheshimiwa Zitto!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    Kwa post kama hii sidhani hata kama ulipiga kura mkuu,maana waonyesha kwamba haya mambo huyafahamu kabisa mkuu!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    Mkuu Mvumbuzi,nahakika wewe unaheshima zako nyingi sana ila kwa swala hilo linalo gusa dini kuyaunganisha na siasa sidhani kama utakua sahihi,kwani kwa imani ya dini ya kiislam kanzu na kidani ni vitu vya heshima kiimani na mjinga mmoja usimwazibu pamoja na kukandia dini zetu mkuu!!
  15. D

    JamiiForums Tanzania TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    Nashukuru kaka! Ila hakuna anaeanza na kupata vema,huwa tunaanza na makosa na kuya sahihisha mbeleni.
Back
Top Bottom