Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

Wapenzi wana mmu habari za week end?
Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja.

Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?
Kweli kabisa wapo wanawake waliojaliwa uzuri wa umbo pamoja na sura ila si kila mwanamume rijali atakaye muona lazima avutiwe naye kimapenzi KNOP,sababu kuna wanaume wanopenda wanawake wanene (aka chines),Kuna wanaume wengine wanaopenda wembamba(Easy to carry) so inawezekana binti ni mrembo lakini si mwembaba hivyo sitamtamani kimapenzi sababu si type zangu.
 
Mwanamke akiwa msafi asiwe bonge mrefu wastani atanishawish ila mwanamke anaepend kulakula ovyo uwa cwafaglii

mkuu hapo kwenye kula kula ni tabia mbaya sana na nashukuru sana wanawake wengi siyo wapenzi wa kula kula hovyo ila kwa wale wenye hii tabia yaani akipita ana kitumbua akirudi ana chapati mara ana kikobe cha chai mara karanga lol waweza kutapika kwa kumuangalia aisee.
 
mmh! erotica huyu anavutia kwasababu yuko uchi with that porn style au? Manake mimi binafsi mathalani nikikutana na mwanaume rijali chumbani kakaa pozi fulani la kimatusi naweza kuvutika kufanya matusi nae lakin mwanaume hiyo pengine nikikutana naye nje wala hata salam yake nisiipokee kwamba hanamvuto.
na mimi sijaona kama huyu dada ni mzuri kimvuto kiasi cha kumtolea mfano. Kiuno hakiko makini nyonyo ndo kabisaaa
 
kila mtu ana vitu vinavyo mvutia kwa mwanamke, wengine huvutiwa na vitu wavipendavyo, inaweza kuwa sura........umbo.....rangi.....sura...........mguu......duh! kweli kila mwanamke ana mvuto wake
 
mhmh.....kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa na sura nzuri umbo nzuri lakini akawa na miguu mibay.....ndo basi hana tena mvuto?? nyie wakaka mbona cwaelewi...??
 
Back
Top Bottom