Tatizo la hii nchi kudhania kila kitu ni siasa. Hakuna utetezi kwenye suala la siasa ili wengi waseme anafaa. Inawekwa rekodi ya utendaji ya Chizi na iko clear kuwa ni mmoja wa na CEO bora afrka mashariki na ana proven records. Sasa suala la wewe unampenda Mwakyembe unatetea kila kitu alichofanya hata kama kibaya kuna siku utakuja kumpenda hata David Cameron halafu ujute kuzaliwa. Kumtoa mtu mzoefu katika uongozi wa mashirika ya ndege na kumuweka rubani kwa kuwa ana uzoefu wa kuendesha ndege ni ubazazi. Ndo maana tunachekwa na dunia nzima kwa ubwege wetu kwa kuwa kila kitu tunaweka siasa. Hebu we kilaza niambie shirika gani hapa A.Mashariki lina Boeing 737-500? Sio kukurupukia kila hoja maadam uko JF
Oooh mkuu hili siyo la kufanyia mzaha..si busara...hakupenda iwe hivi... tuwe na utu ...tofauti za misimamo ya kisiasa zisitupeleke hukoheb mwacheni mzee wa kunyonyoka apige mzigo
Tatizo la hii nchi kudhania kila kitu ni siasa. Hakuna utetezi kwenye suala la siasa ili wengi waseme anafaa. Inawekwa rekodi ya utendaji ya Chizi na iko clear kuwa ni mmoja wa na CEO bora afrka mashariki na ana proven records. Sasa suala la wewe unampenda Mwakyembe unatetea kila kitu alichofanya hata kama kibaya kuna siku utakuja kumpenda hata David Cameron halafu ujute kuzaliwa. Kumtoa mtu mzoefu katika uongozi wa mashirika ya ndege na kumuweka rubani kwa kuwa ana uzoefu wa kuendesha ndege ni ubazazi. Ndo maana tunachekwa na dunia nzima kwa ubwege wetu kwa kuwa kila kitu tunaweka siasa. Hebu we kilaza niambie shirika gani hapa A.Mashariki lina Boeing 737-500? Sio kukurupukia kila hoja maadam uko JF
hao wanaogopa kupunguzwa kazi tu, sababu atcl ina wafanyakazi wengi wakati haizalishi kuweza hata kujiendesha yenyewe, tayari washajua kinachofuata hapo ni kitu gani!
Hata ni kufaulisha, kwa nini basi ufanisi unakuwa chini kiasi cha madege kama Qatar Airways, Ethiopian Airline, Kenya Airways, Emirates KLM yasiishie huko sisi tukawa tuko busy kufaulisha abiria na kujijengea nafasi nzuri ya kujitanganza? Kuna vitu ni kukaa chini unaumiza kichwa kidogo hata mwezi haufiki utatoka na kitu cha maana, say a proposal which interlinks our Airline companies with various international flights strategically, watu wakapata ajira na uazoefu. Sasa tumeachia wakenya kila kitu kutuingiza mkenge hata kwenye bunga za wanyama, milima achilia mbali kutuuzia madini yetu kwa bei poa kuliko kwetu.Waingereza wana msemo "jabbering with words" na huyo aliyekwepa tatizo la ATCL ambamo kodi zetu zinakwenda akaanza attack a private company started from the scratch by a vibrant, entrepreneur, local, humble Tanzanian na kuifanya ikapata sifa ya kuandikishwa kwenye soko la hisa la Dar es Salaam ni wa kusamehe. ATCL and Precision Air are two characters diametrically opposed though both belong in the same industr. yKwanza mtu anayelinganisha kuchukua abiria Dar ukawapeleka JNB, Jommo Kenyatta Intl Airport, Entebbe au kwingineko na wakapanda ndege nyingine naye akalinganisha na daladala nafikiri au kafanya kwa makusudi na hali yeye ana exposure au hajui Operations Management. Hiki ni kitu cha kawaida maana mashirika mengi duniani yana utaratatibu wa aina hiyo either kwa makubaliano au kama una abiria pungufu na unaona kwenda sehemu iliyokusudiwa ni hasara unawaweka kwenye ndege nyingine. Hiki si kioja labda anayetaka kukifanya kionja ndiye amechemka.
Sasa turudi kwenye mada ya ATCL. Hivi wafanyakazi wa hili shirika si wana mikataba. Watuonyeshe ni wapi kwenye mikataba wameambiwa ili wafanye kazi kwa ufanisi labda awepo Chizi. Kama kipengele hicho kipo basi MWAKYMEBAMECHEMKA. Kama hakipo Mr.Twambombo is right lazima sheria zifuatwe
Mkuu Ngongo, linakera hili shirika. Hawadesign ndege wao kazi yao ni kuzitumia kibiashara kwa kutoa huduma kwa watanzania, na bahati mbaya siasa zinaliua.Taarifa imekaa mkao wa kimbeya mbeya ni ajabu kidogo pamoja na kukaa mkao wa kimbeya bado imevuta wanajamvi kibao.
There are currently 198 users browsing this thread. (50 members and 148 guests)
Hayajui adha tunayopata tukiulizwa huku ughaibuni. Mfano, unaulizwa unatokea wapi? Najibu: Tanzania, swali lingine: Mna kampuni gani ya ndege? hapo ndiyo unaanza kuchukia uwepo wako pale, najibu: Aaahh eeeeeh mara ooooh, tunashirikiana na Kenya airways, mara Precision kumbe nako ni wizi mtupu hakafiki popote zaidi ya kuwapelekea abiria Kenyaairways. Ujanja ujanja mwingi kila kona nchi hii.

Kweli kabisa mkuu, eti shirika lina wafanyakazi zaidi ya 300 wakati lina ndege moja. Kodi za kwenye mishahara yetu ndo wao wanalipwa mishahara bila kuzalisha. Kibaya zaidi wengi wao wameajiriwa kwa vimemo. Sasa wanahaha kuona jembe (Mwakyembe) limepiga hodi hapo!
Mwakyembe sio jembe, mimi nakataaa kabisa mtu aniambie Mwakyembe ni jembe hadi atakapoprove kwa kufanya kitu. Watanzania tumezoea kusikiliza makelele na wapiga makelele tunawaona jembe. Angekuwa Jembe asingefanya haya maamuzi ya kitoto ya kumuondoa CEO na kuweka rubani aongoze shirika. ATC watu wamerithishana matatizo kiasi kwamba ni bora walivunje tuendelee kupanda ndege za wafanyabiashara. Kupunguza wafanyakazi inatakiwa kuwalipa, wazee wa Afrika Mashariki hadi leo hawajalipwa, wamedhulumiwa. Mfumo wetu wa kuweka ndugu anaoendeleza Mweakyembe ndo umesababisha shirika kuwa na wafanyakzi wengi na yeye kaongeza...