Le Mutuz: Leo Uchaguzi So Need Your Prayers!!

Le Mutuz: Leo Uchaguzi So Need Your Prayers!!

Mwaga sera tumia kiswahili fasha kujieleza; epuka lugha za magharibi wajumbe wengi hawatakuelewa
ALL THE BEST

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Karibu tena tulimis uombaji wako wa maombi kwenye kuchaguliwa, hivi uwezo wako wa kuwashawishi watu ni kiasi gani mpaka kila siku uje hapa kuomba maombi. bora ungeendelea kula ban.
 
Heshima mbele JF, leo ndio siku ya uchaguzi ngazi za Wilaya na Mkoa CCM hapa Karimjee Hall, ninagombea Ujumbe wa CCM wa the Great Wilaya ya Ilala na Ujumbe wa Kamati ya Siasa, so Inshallah nikipita then safari yangu ya NEC na Chama cha Wazazi Taifa mwezi ujao itakuwa 100% sawa you know!!

- This is a tough one so I need your prayers people, One Bongo! One Nation! Ingawa wengi hatuna Itikadi moja; lakini at the end of the day ni we are One Nation na SO HELP ME GOD!!

LE BAHARIA BIIG SHOOW!!

Tuambie ukipata hiyo nafasi utalifanyia nini Taifa na hasa vijana kwani mara baada ya kukosa ubunge wa Afrika Mashariki ukaenda kuanzisha Blog yako ambayo inawadhalilisha wanawake kwa kuweka picha za wasichana ambao wako UCHI, cha ajabu watu wakikuonya uache huo Upuuzi unaweka Jelous na kuwafuta urafiki.
Sasa kwa nafasi kama hiyo utakapopata sijui ndio utaenda kufanya kioja gani kingine.
 
Penye nia pana njia. Move nzuri. Baada ya kuanzia kichwani ukaona haikulipa umerudi shinani. Hapo sawa; mambo ni hatua kwa hatua na mwanzo wa mbili ni moja.

Kila la kheri
 
Mkuu Le Mutuz;
Fanya Campaign ya nguvu sana Usisahau TAKRIMA! Ukiweza andaa kanga na pilau la kufa Mtu.
ALL THE BEST.
 
leo ujieleze vizuri , sio unajieleza kama bibi yangu selimbatanga wa itimbwi ukadhani utapata kura , anyway goodluck W. J. Malecela
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz Big Show kwa kutokukata tamaa hilo nakufagilia. Sijui umeona nini kwenye siasa mpaka umeamua kukomaa nayo namna hiyo. Siasa waachie wakina Lusinde na Mwigulu wewe piga kazi zako kaka.. Hata hivyo nakutakia mafanikio katika malengo yango.
 
Huko pia natumaini Mmeingia na Pombe kali aina ya Viroba AKA "LAPTOPS" Ha ha haaaaa. Le Mutuzzzz
 
Kwa 7bu Ccm ina wapiga kura wengi wanawake,nna uhakika utapita!
 
honestly napenda sana thread za le mutuz mana kutwa nzima nakua natabasamu
 
Heshima mbele JF, leo ndio siku ya uchaguzi ngazi za Wilaya na Mkoa CCM hapa Karimjee Hall, ninagombea Ujumbe wa CCM wa the Great Wilaya ya Ilala na Ujumbe wa Kamati ya Siasa, so Inshallah nikipita then safari yangu ya NEC na Chama cha Wazazi Taifa mwezi ujao itakuwa 100% sawa you know!!

- This is a tough one so I need your prayers people, One Bongo! One Nation! Ingawa wengi hatuna Itikadi moja; lakini at the end of the day ni we are One Nation na SO HELP ME GOD!!

LE BAHARIA BIIG SHOOW!!
Umepata prayers zetu mkuu ila wakikutema tena msimu huu, nakushauri ukajaribu CUF au NCCR.
 
All the best, msimkatishe tamaa ya ndoto zake!!!!!

@PJN at Mtwara Gas City
 
Sina imani na wewe siku izi pedezhee...hata hapo utachemsha tu.NENDA FM ACADEMIA UWE PRESDAA WAO.

Dah hii post imenfanya ncheke kicheko ambacho sijacheka wiki nzima,ila sio vizuri kum discourage mtu kihivi bhana u never know may b ndo atatokea hapa had urais hapo baadae,
 
Heshima mbele JF, leo ndio siku ya uchaguzi ngazi za Wilaya na Mkoa CCM hapa Karimjee Hall, ninagombea Ujumbe wa CCM wa the Great Wilaya ya Ilala na Ujumbe wa Kamati ya Siasa, so Inshallah nikipita then safari yangu ya NEC na Chama cha Wazazi Taifa mwezi ujao itakuwa 100% sawa you know!!

- This is a tough one so I need your prayers people, One Bongo! One Nation! Ingawa wengi hatuna Itikadi moja; lakini at the end of the day ni we are One Nation na SO HELP ME GOD!!

LE BAHARIA BIIG SHOOW!!

kaka,umepanga safu? maana ndani ya ccm bila safu mambo hayaendi,je umetembelea kata na matawi? unawaelewa wajumbe wote watakaokuja kupiga kura? kabla ya kuingia ktk ukumbi ni vyema uwapitie wajumbe na kuwasalimu nje ya ukumbi ili waelewe nini unagombea maana wapiga kura wengi wa ccm hupenda kuonyeshwa heshima yao la sivyo wanakupiga chini.

lakini wakati wa kuomba kura,nakushauri tumia maneno ya kufurahisha wajumbe ili waweze kucheka na hii itasaidia wao kukupa kura lakini kama utakuwa na maelezo mengi tena ya kitaalamu wajumbe watakuwa bored na kamwe hautakuwa akilini mwao na mwisho wa siku watakupiga chini

haya ninayokueleza ndiyo yatakupa nafasi kama utayatumia
 
Back
Top Bottom