itv, startv, ch.ten! Pia katika tamko lake alilolitowe bungeni leo asubuhi kuwa litakalo kuwa na liwe wameliondoa.
serikali ikifanya kosa kesho kutoa tamko baya au linalokwenda kinyume na matakwa ya madokta nadhani HALI ITAKUA MBAYA SANA maana madokta wana hasira sana na kuumizwa vibaya kwa kiongozi wao Dr Ulimboka.Subiri tamko la Pinda kesho hilo wataliweka kwenye breaking news
Current news kama hii kila media imeripoti kuhusu utekaji huu na unyama aliofanyiwa dr. Ulimboka lakini why Tbc hamjaripoti kulikoni? Kunani nyuma ya pazia?