Ahaaa jamani acheni kumshambulia huyo Mnyella,mm ninachomsifu amekuwa muwazi,ameeleza ukweli,kina dada wengi umu jf wanatuogopa sana wanaume kwa ajili ya uongo,utakuta mtu anajipaisha tu,mdada anapoteza muda mpaka hatua ya mwisho mdada anagundua ni muongo,kwaiyo Mnyella naona kaeleza ukweli...