Nahitaji kampani yako

kumbe unasoma posts za kila mtu between the lines eeh... si unajua tuna kawaida ya kusahau tulicho-post before..

Atajiju, hapa niko full, msanii namsoma vilivo coz huenda alikolalia ndo nlikoamkia teh teh
 
Atajiju, hapa niko full, msanii namsoma vilivo coz huenda alikolalia ndo nlikoamkia teh teh

hiyo tracking yako nimeikubali... ngoja na mimi nisije nkajichanganya hapa nikasema location: washington dc nikidhani ushasahau teh teh teh..
 
mm nipo mbeya wewe je?tusafiri wote kama vp?ila kama upo barabara ya mosh arusha mwanza,nimekukosa,,,teh teh
 
Asante mimi nipo mpindimbi Masasi huku mkoani Mtwara

Mmmmmmmmhh Naijua hiyo sehemu, Hebu tutafutane kwa Email nina mpango wa kuja huko haraka iwezekanavyo. Naelekea Chiwata KM kadhaa toka hapo mpindimbi. Vipi bado mnatumia usafiri wa canter au now full bodaboda??
 
Gbollin, nilikupata ila kwa wakati huu siko kwenye hali nzuri kukujibu mwaya....ntakupa jibu kama ulivyoomba kwa kile nikijuacho
 
Back
Top Bottom