serious man to build a family!

habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

Mimi nipo serious, labda tu uniambie una hitaji vigezo gani zaidi ya kumcha Mungu, im a christian. cha msingi niambie about ur self, waweza tuma hata private sms nitakujbu. im serious
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

Huu unafiki wa sijui mcha mungu ndio umekufikisha wewe na wadhaifu wenzio hapo mlipo.
 
You sound like one frustrated woman who has no husband. Poole sana. Wacha wenzako ambo wameolewa wakae hivyo hivyo.
If you are looking for a man who will be compatible (to your needs) 100% please create a robot for yourself. Otherwise with your attitude stay away from marriage and married man.

punguza ukweli
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

Utaamini vp kama nipo serious? mimi najiamin naomba tuwasiliane tufaamiana then ukisha hakiki kama nipo serious na na tukipendana kweli basi tuanza uhusiano na kujenga familia coz na mm natafuta serious girl.

emmanuelvitalis@tanzaniamail.com
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

Japo hujashusha sifa za mtu unayemtaka, ni-pm, tuchek posbilitiez.
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 
loreeen umeona eeeh
ungewekeza toka zamani yote haya yasingekukuta ,ungehamia tu upande wa pili kilaiini,
next time uhakikishe benchi kuna wawili watatu.
we ni kuingiza tu kitu uwanjani majeruhi yakitokea

kumshauri mwenzako awe na kidumu/spare tyre sio mzuka,kwani na******* ziko mbili au tatu?tumepewa moja moja kwa ajili ya mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom