Eneo linauzwa! Lipo mbezi-luis,dar es salaam. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eneo linauzwa! Lipo mbezi-luis,dar es salaam.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Diccky4, Oct 16, 2012.

 1. D

  Diccky4 Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Eneo la kutosha linauzwa,lipo MBEZI-LUIS,mkoa wa DAR ES SALAAM,WILAYA YA KINONDONI,KATA YA MBEZI.Tuwasiliane kwa 0713-507181 au email adres diccky4@ovi.com
   
 2. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Mkuu ni vizuri kuweka taarifa za kutosha ili kuepuka wanajamvi kukuignore kwa kukosa info stahiki;-
  -weka size ya kiwanja.
  -kimepimwa au la
  -kama kimepimwa kina doc ipi aidha hati au ofa.
  -Lipo karibu na nini mathalani umbali toka Morogoro Road ama eneo lolote maarufu as a reference point.
  -wewe ni nani kwa hilo eneo mathalani mwenye mali au midman n.k
  -Unaweza kutupia japo picha
  -bei ya kiwanja ni ngapi,

  Hiyo inasaidia mtu kujua kama kilichopo kinakidhi mahitaji yake au la,na kuona umuhimu wa kupiga simu au kukupm.
  Jitahidi kwa hayo machache mkuu.
   
Loading...