Nahitaji mwenza wa maisha

emmi

Member
Apr 19, 2012
11
2
Naitwa emmi,nahitaji mwenza wa maisha miaka kuanzia 39-43 awe na siha njema mwenye muonekano mzuri awe mcha Mungu na awe mwenye kujishughulisha,kujiamini,awe na mtoto walau mmoja.Je wewe una sifa hizo?ni PM
Mimi nina miaka 33 ninafanya kazi Dar,kama na wakujaribu pliz usipoteze muda wako bure.

Natanguliza shukrani.
 
Una masahibu gani hadi uje utafute mtandaoni
OTIS
 
good luck mwaya,wengine wametafuta humu humu na wamepata hata wewe utapata.....
 
Sielewi mtu kuja kutafuta mwanaume/mke humu ndani...alafu mkichezewa mnalalamika. Dada una 33yrs old and ur single..u aint gotta man...tatizo ni nini...anyway Goodluck...All the best..u never know
 
Awe walau na mtoto? Kwani wewe unajijua kwamba huna uwezo wa kuzaa? Halafu kwanini kuanzia miaka 39 wakati wewe una 33 tu? Kwanini basi isiwe miaka kuanzia 34?
 
Na wewe ni great thinker? Kwa kweli wewe hustahili hadhi hiyo.Kumbe hata wavuta bangi wamo humu eh? Kazi kweli kweli. MODs hamtakuwa mkitutendea haki kama hamtakuwa mkiondoa comments kama hizi na kuwapiga Ban watu wenye akili kama za huyu mvuta bangi maana hata watoto wetu hupitia kwenye forum hii.

Hujaona mtu mwenyewe anaitwa chinga boy? Wavuta bangi wa box 2 ndo walikuwa wanajiita hivyo. chinga boy na ujinga wa kupiga chata kila kona.
 
CV yako haijakailika, hebu tuwekee elimu yako, kazi gani unafanya. Una mtoto au watoto? Uliwahi kuolewa? Watu wanataka kujua taarifa kama hizo. Nakutakia safari njema
 
Naona mie ndo wako maana vigezo vyote ninavyo kinakosekana kimoja ambacho tutaelewana! nitumie mail yako nikupe profile yangu
 
CV yako haijakailika, hebu tuwekee elimu yako, kazi gani unafanya. Una mtoto au watoto? Uliwahi kuolewa? Watu wanataka kujua taarifa kama hizo. Nakutakia safari njema
Kaka, kwani amesema anataka kusafiri? Safari njema ya nini tena
 
Naitwa emmi,nahitaji mwenza wa maisha miaka kuanzia 39-43 awe na siha njema mwenye muonekano mzuri awe mcha Mungu na awe mwenye kujishughulisha,kujiamini,awe na mtoto walau mmoja.Je wewe una sifa hizo?ni PM
Mimi nina miaka 33 ninafanya kazi Dar,kama na wakujaribu pliz usipoteze muda wako bure.

Natanguliza shukrani.

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Naomba na ww usiwe unajaribu!maana wanawake wengi wa jamii joking nyingi na wa kuangalia maslahi,kama ww haupo huko mm pia natafuta mke na niko serious kweli na sijaribu nataka mke nina miaka 43
 
hahaha,aya bwana kila la kheri mtapata,ila umri uwo mlikua wapi na kwa nini ujitangazie ninyi ndo wale mnakutana na matatizo mnalia,utapata mtu jini !!!!! kua makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom