Recent content by DGMCHILO

  1. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    jamani ni mazoezi tu hayo na zoezi la mabomu na risasi limedumu kwa nusu saa tu na sasa kupo kimya
  2. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    mabomu na risasi yamesikika usiku huu saa 3:00-4:00
  3. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Natamani sasa kuolewa

    Huna msimamo kamili heshimu wazazi wako kwanza ili upate BARAKA ktk NDOA utakayoingia N D O A DOA OA
  4. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Watu wanne waliojiita manabii wapigwa kwa mawe baada ya nyoka kutoka kwenye begi lao

    Njia nyembamba OLE WAO WAALIMU WA UWONGO NA MANABII WA UWONGO
  5. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu wa kidato cha nne hadi ngapi unaenda kidato cha tano,na ngapi kusomea ualimu wa primary?

    Mwanangu amepata DIV. IV - 32 anakwanda wapi huyu? Nisaidieni
  6. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Tunadanganyana hapa
  7. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

    Danganya toto hiyo
  8. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

    Adhabu ya wezi
  9. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

    Kumbe bado tunao wazee wenye uwezo na uelewa
  10. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Ajali Iringa yaua zaidi ya 10 yajeruhi 40

    R.I.P watanzania wenzetu
  11. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Mume huyu anapenda kazi kuliko mimi

    Apimwe akili na afya yake kama amekamilika pia na msaada wa kisaikolojia
  12. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa wabunge katika biashara ya Nguzo za TANESCO

    Hapo tumefika
  13. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania tubakie na ujirani mwema mungano basi tenaa tukilazimishana tunakaribisha majanga mbele

    Muungano umeshavunjika hauunganishwi tena hata kwa SUPER GLUE
  14. DGMCHILO

    JamiiForums Tanzania PICHA: Vurugu Zanzibar: Mabaki Ya Kanisa Lililochomwa Moto kama ingekuwa Msikiti ingekuwaje?

    Kuvua hijabu vs kuchoma kanisa nani mkorofi zaidi
Back
Top Bottom