Natamani sasa kuolewa

Natamani sasa kuolewa

kama mmependana mi sioni kama dini ni big deal, Kaeni ongeeni nadhani mtamaliza hizi mambo.
 
Huna msimamo kamili
heshimu wazazi wako kwanza ili upate BARAKA ktk NDOA utakayoingia
N D O A
DOA
OA
 
Tafuta wa dini yako. Bora uolewe na teja ila awe wa imani yako. Hiyo kubadili dini utakuja jutia. Ila za kuambiwa changanya na zako.
 
Kama unaamiini Mungu ni mmoja hiyo ndio LAILAHA ILLA Allah.
 
Hawezi kubadili dini ila anasema tukafunge ndoa kwa mkuu wa mkoa tatizo sasa ni jinsi ntakavyompeleka nyumbani rasmi watampokeaje watasemaje,watanichukuliaje!

Kwahiyo wewe ndo upo tayari kubadili dini? Acha ujinga huyo hakufai usidanganywe na mahaba hapo hakuna upendo mwadanganyana tu.
 
Wee kaslim uhamie huko kisa uolewe tu, ila fahamu siku baba yako ama mama yako aidhaa ndugu yako akifariki huku ukristoni ulipowaacha hautoruhusiwa kuudhuria msiba wa ndugu zako waliowakristo awe mama yako ama baba yako ndio masharti ya huko unakotaka kwenda ukae ukijua!
 
hapa umedanganya kidogo
 
hapa umedanganya kidogo

Ila ukweli ndio huo, muulize muislam yoyote anae jua sharia za kiislam akujuze mkuu muslam hatakiwi kwenda msibani/kumzika mtu asie kuwa muislam, hata kama ni mzazi wako hauruhusiwi kwenda kwenye msiba wake ikiwa yeye amekufa akiwa mkristo!
 
Tafuta wa dini yako. Bora uolewe na teja ila awe wa imani yako. Hiyo kubadili dini utakuja jutia. Ila za kuambiwa changanya na zako.

Huu ndo ukweli.
Ataletewa mwanamke mwingine anayeijua dini vizuri na yeye atabaki kua house gelo tu.
 
Hawezi kubadili dini ila anasema tukafunge ndoa kwa mkuu wa mkoa tatizo sasa ni jinsi ntakavyompeleka nyumbani rasmi watampokeaje watasemaje,watanichukuliaje!

Kama ukibadili dini utakuwa tayari pia kuwa na wake wenza kwa kuwa dini ya mmeo inaruhusu ndoa ya wake hadi wanne?
 
Hawezi kubadili dini ila anasema tukafunge ndoa kwa mkuu wa mkoa tatizo sasa ni jinsi ntakavyompeleka nyumbani rasmi watampokeaje watasemaje,watanichukuliaje!

Na watoto mtakao wazaa baada ya kuoana kwa huyo mkuu Wa mkoa kwahiyo wataikulia Imani ipi??
 
napenda kujua umri wako tafadhali kwa nia njema tu
 
Pole sana dada! Usidanganyike,mwombe mungu atakupa mume mwema mkristo mwenzio. Ila kama unataka ndoa za mitara kubali kuolewa huko utakako, baada ya miaka mitatu utasikia sie kuoa wake wengi suna, ko ukikubali jiandae kushare mume na wake wenzio watatu na pia jiandae kwa mengine kibao.
 
Haya mahusiano ya hivi mm huwa nayaogopa sana..mbeleni ndoa lazima iwe na vurugu...
Mimi wa dini tofauti ntaishia kummega tu...ikitamkwa ndoa nachapa lapa..!
 
Back
Top Bottom