Mume huyu anapenda kazi kuliko mimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume huyu anapenda kazi kuliko mimi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Laaziz, Sep 27, 2012.

 1. L

  Laaziz Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni rafiki yangu jana kanilalamikia nimshauri eti mumewe yupo bize na kazi yaani akitoka asubuhi kurudi usiku na weekend pia anaenda kushinda ofisini ili amalizie kazi zake akirudi yupo hoi hata chakula cha usiku kinamshinda, amejaribu kumfuatilia nikweli muda mwingi anakua ofisini akifanya shughuli zake, amejaribu kumweleza hafurahii hali hiyo lakini mumewe hataki kujirekebisha sasa afanyeje maana haoni raha ya ndoa na huku bado anampenda. nisaidieni mawazo wanajamii. ni ukweli kabisa si porojo wala nini!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  The husband needs to learn how to balance between his work life and home life.

  He needs to understand that life is not all about work or money.

  Perhaps some form of counseling would help.

  In order for that to be helpful he'll have to open up his mind for it to even have a prayer.

  So him being open minded is of critical importance.

  Otherwise his marriage could be doomed.
   
 3. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Apimwe akili na afya yake kama amekamilika pia na msaada wa kisaikolojia
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  mshauri mumewe afanye mazoezi na ale vizuri, atakua anaulizia hiyo naniliu hadi itakua kero..
  kimsingi hamna ubaya kwa mtu kupenda kazi, nyie wanawake mnapenda pesa na maisha mazuri, mnadhani hivo vinatokea wapi?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kuna christmas moja nilimpigia mdada simu asubuhi, akaniambia mumewe yuko kazini! Sio askari wala daktari wala watchman! Ana 3 little kids! Imagine papaa not home on christmas day, na ni wakristo!
  Kuna mabalaa mengine mtu hujitafutia!
   
 6. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe sio mama watoto wangu? Kama ni hivyo kwa nini usiniambie, tuzungumze umeamua kuja kufuata ushauri huku angalia usije pata kidumu.
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine hali ya uchumi inalazimisha mtu kukaa ofisini/mahali unapopatia rizki muda mrefu. Nakumbuka kile kipindi cha Mwinyi,sikukuu zilipokuwa zinafidiwa,mimi nilikuwa nalipwa kwa siku, kisia mwenyewe hali ilikuwaje hizo siku za fidia.

  Inawezekana kelele za nyumbani zikamfanya mtu kukaa ofisini masaa mengi, ili ndege arudi tunduni mapema ni lazima kuwe na mazingira mazuri pia.
   
 8. F

  Fofader JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Workaholic
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Sio kila ambaye hana furaha nyumbani hu'cheat'...kuna wengine sio ma'cheater' hivyo wanachannel hiyo energy kwenye mambo mengine mfano 'kazi'. Rafikiyo achunguze kama mumewe ana furaha kwenye ndoa yao, au ana furahia kuwa nyumbani..na yeye amechangia vipi hiyo hali sio kumsukumia mwenzie lawama zote!
   
 10. L

  Laaziz Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  King'asti, Abdulhalim. ushauri mzuri mmetoa nitafikisha ujumbe ipasavyo ili aweze kukabiliana na tatizo! BORNCV ndio wewe mlengwa nini? afadhali umejitambua jirekebishe basi hujaoa kazi bwana.
   
 11. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mimi naona watu wengine wanajifanya wako busy tuu. Kazi haziishi na ofisi haikutegemei wewe mwenyewe tuu. Hawa watu wakistaafu wanapata shida sana, wengine wanaishia hata kupata magonjwa ya moyo. Ni muhimu sana kupata mda wa kuwa na familia yako. Hivi watoto wakiharibika utamlaumu nani???Hayo sio malezi na hapo hakuna familia bora..
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Najua unanisema mimi...............
  Wewe endelea tu kutoa siri za nyumbani.....
   
 13. N

  Ngahekapahi JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Ninyi wanawake ni wav wa ajabu sana, nyie si hamtaki kuwa involved kwenye mambo ya kusaidiana ktk familia,mishahara yenu ni ya kwenu,ila wa mume wa wote,poa acha jamaa apige job ili muhudumiwe na mpate mahitaji yote,labda ungemsaidia kwenye baadhi ya mambo isingekuwa hivyo
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  mke ajichunguze kwanza, huenda ni mzigo kwa mumewe hivyo basi mume kaamua kazi iwe ndio faraja yake.
   
 15. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa nini watunzi wa hizi thread husema, "rafiki/jamaa/ndugu yangu ana tatizo........." ni ukweli au wanaona aibu kusema kwamba ni wao wanaohitaji ushauri?
   
 16. L

  Laaziz Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aibu ya nini? kwani unanifahamu hadi nione aibu?
   
 17. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Japokuwa mumewe huwa anarudi amechoka, wa kuanzisha game ya chakula cha usiku ni mwanamke, hasikae kusubiri mumewe ndio aanzishe.
  Tena siku zengine awe anamwambia kabisa, baba fulani leo naomba urudi mapema nahitaji kula chakula cha usiku.
  Ikienda hivyo na jinsi anavyomueleza anavyohumia yeye kuwa bize sana na kazi mambo yatabadilika.
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mkuu sio wote, huenda mtoa mada hata hajaolewa. mf. kuna uzi nimeanzisha. kiukweli mhusika sio mimi cos mie sijaolewa. ni issue ya rafiki yangu ndio alinieleza nikamwambia tupange muda tuzungumze. nami nikaja humu kuomba maoni ya wenzangu!
   
 19. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nashindwa kushangaa na miye aiseee kuhusu hawa ndugu zetu!!
  Upande mwingine wanataka uwahudumie kila kitu..sasa bila kufanya kazi hela zinatoka wapi?
  Mwambie huyo shogaako mradi anakula na kuvaa avumilie tu..mwambie mumewe anamtafutia maisha..si unajua maisha yalivyo magumu!...ngono sio muhimu kama ugali na samaki!!
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  khe yamekuwa hayo!
   
Loading...