CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

watz tunakuwa driven sana na itikadi za kisiasa zetu kuliko kuitanguliza nchi mbele na kukubali tulipoteleza m/kiti wako amb=ekubali kama pale wameteleza na ameomba msamaha wewe umekaa unangangania tu
Kwako hujui mbowe kaomba msamaha kwenye nini?

Mbowe pamoja na mashinikizo na mpangilio wa kihuni wa maneno wa Chiligati(Ingawa sijui CCM wamekubali achia nini ktk hila zao ili wawanusuru CUF), aliweka wazi mambo haya.

-Kuwa hotuba ile si ya Wenje ni ya kambi rasmi ya Upinzani inayoongozwa na CDM(Au ya CDM),na kutaka hilo liheshimiwe.
-Pia kaomba msamaha kwa CUF kuumiwa sana kwa hotuba.Ila si kwa kilichoandikwa ktk hotuba.
-Kasema anafanya hivyo kwa ajili ya amni ya taifa(Sijui tishio la ugaidi wa CCM na CUF lilikuwa lipi).
-Pia kaomba msamaha kwa session ya Bunge kusimamishwa, hakuomba msamaha kuwa CDM ndio walisababisha.Ila kwa hotuba ya CDM ,watu wakaleta fujo.Ni kama mchezaji kuomba radhi kwa washabiki kuumia ktk mechi aliyopiga bao na si kwa kuumiza mtu.

-Pia kaweka msimamo wake kuudhika sana na zile fujo.
-Pia kasema wazi kuwa kutoa majeshi ni sehemu ya mkakati ni si kwamba wameshindwa na wala hawajakubali km hotuba ina shida.Ila shida ni vyama.

Mbowe kasimama Kiumbe,katumia busara.Kaweka friendly way ili wana CUF wasiwe nje ya ulingo,kwa kuogopa CDM,huku walichokisikia kuhusu CUF its shocking, hakimezeki kwa wana CUF wengi hasa waislam.

Hembu rudia vyem upate elewa kidogo.Kwa ujumla yupo Nasi zaidi.
 
mwenyekiti wa kamati ya maadili ya bunge ndugu g. mkuchika amemtaka kiongozi wa upinzani kuomba radhikwa kauli mbaya ya mbunge wake mh wenje kuikashifu cuf vilevile kutotii kiti cha naibu spika. je chama kama hiki ambacho hatujakikabizi mamlaka hakijali uwepo wa vyama vingine wala kuheshimu uwepo wa vyama vingine ni kukosa political tolerance je wakishika dola hali itakuaje? chama cha demokrasia kimefilisika kisiasa na kutumia siasa sa kukashfu na kuudhi hizi ni siasa ngeni hapa kwetu huu si uungwana
 
​Kwa nini asiende kumaliza swala la Gesi asilia na Korosho Mtwara kwanza akirudi ndi akabidhi madaraka kwa CDM?
 
CUF wamekwazwa nini?, vyama vya kiliberali haviungi mkono haki za mtu binafsi ikiwemo ushoga?

Lkn CHADEMA pia naona wamo ktk misaada ya consavative wakati kiongozi wao mkuu ni David Cameroon ambae nae ni mmoja waliopendekeza ndoa za jinsia moja,pia wamejiunga ktk umoja wa vyama vya kikiristo duniani na walipokea misaada mingi kupitia huko,leo nani atakataa kuwa chadema sio chama cha kidini?ukizingatia hata hao viongozi wao waanglicana ndio source ya ushoga ulimwenguni,inamana na waanglikana wote nao ni mashoga????
 
Na ukweli umejulikana, itawafanya CUF kutulia maaba ghiliba zao zimeanikwa kweupe.

Najiuliza kama ISINGEKUWA KWELI kwa nini CUF walihamanika vile kiasi cha kutishia usalama wa Bunge?
Ha ha......CUF wamekuwa caught by surprise masikini....Suala hili nyeti sana kwa masalahi yao.Ni kama wafalme wa uarabuni wanatunza sana mashoga,na kwao wanapitisha sana amri za kuwaua mashoga wanaoshikwa mitaani.Ingawa wanapenda fanya haya ktk makasri yao, au ktk madanguro nje ya nchi yao...Ngoma inakuja pale wakishikwa ktk nchi za watu halafu taarifa ikawafikia raia wa kawaida wa hizo nchi(za kiarabu) wanaoamini kuwa hayo maovu makubwa sana.

CUF wameshikwa mahalai pabaya ndio maana moto ukawaka bungeni,inawezekana hata walisema watalipua Bunge..Wataingiaje Misikiti ktk Kampeni zao?hao masheikh watakaowakaribisha nao watakuwa na hali ngumu sana, na wakiwakana waliberali wenzao ktk kipindi walipaswa zielezea vyema sera za "Haki kwa Wote". Tena kipindi hiki CUF hawana Hela.

CUF wananing`inia ktk dini mbili "Uislam" na dini ingine inayokuwa kwa kasi duniani ya "Ushoga".CUF hawakuwa na njia nyingine zaidi ya Vurug.Na kwa udogo wao kifikra waliona hilo jukumu km impossible na kutisha sana kuliko kuleta vurugu bungeni.Siajabu walitisha hata CCM kuwa wakiwatosa basi wanamwaga mboga.
 
... Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?...
Sasa kama ni kweli Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola ambayo inatambua haki za mashoga, kwa nini CUF nao wanakasirika kuambiwa ni wanachama wa vyama vya kiliberali ambavyo vinatambua haki za mashoga? Mbona watanzania tunaujua ukweli kuhusu msimamo wa Jumuiya ya Madola na hatukasiriki?
 
Mimi nakushangaeni sana mnaopiga kelele,dunia nzima watu wote wanajua kuwa WAANGLIKANA ndio mashoga wakubwa duniani hd kutamani kudinyana wenyewe kwa wenyewe vidume,sasa km hvyo ningefurahi sana km wenje angesema kuwa KANISA LA ANGLIKANA ndio linaloongoza kwa ushoga wakatibndani ya CUF hakuna waanglikana lkn CHADEMA waanglikana kibao akiwemo kiongozi wao,kwa hiyo nadhani angesema hv basi ingekuwa safi sana.
 
Hamna cha kuongea zaid ya kudis M4C na nakwambia bado mda kidogo mtanyamaza
 
Lkn CHADEMA pia naona wamo ktk misaada ya consavative wakati kiongozi wao mkuu ni David Cameroon ambae nae ni mmoja waliopendekeza ndoa za jinsia moja,pia wamejiunga ktk umoja wa vyama vya kikiristo duniani na walipokea misaada mingi kupitia huko,leo nani atakataa kuwa chadema sio chama cha kidini?ukizingatia hata hao viongozi wao waanglicana ndio source ya ushoga ulimwenguni,inamana na waanglikana wote nao ni mashoga????
Bosi wenu Nape aliambiwa alete ushahidi kuwa CHADEMA kinapokea misaada ya fedha kutoka nje akang'aa macho, na wewe leta kwanza ushahidi wa madai yako ndipo tujadili hoja hako.
 
Mimi nakushangaeni sana mnaopiga kelele,dunia nzima watu wote wanajua kuwa WAANGLIKANA ndio mashoga wakubwa duniani hd kutamani kudinyana wenyewe kwa wenyewe vidume,sasa km hvyo ningefurahi sana km wenje angesema kuwa KANISA LA ANGLIKANA ndio linaloongoza kwa ushoga wakatibndani ya CUF hakuna waanglikana lkn CHADEMA waanglikana kibao akiwemo kiongozi wao,kwa hiyo nadhani angesema hv basi ingekuwa safi sana.
Pole kwa kutoelewa hili suala..muone mwana CDMwa karibu yako kwa msaada zaidi.

Wenje hakuwa akitaka taja mashoga wakubwa duniani.Na hata hivyo wakubwa wapo wengi.Wenje alitaka vyama viseme mahusiano yao na vyma vingine duniani ili watu wafahamau nafaida au hasara zake.

So hilo la CUF ni kionjo tuu aligusia kuhusu ideology za hao watu.CUF wakapata hofu kama wamefumaniwa.Kwa vile ndicho kitu waogopacho waambieni nyie wanachama na wapenzi wao.

Kwa ufupi ni kwamba huo umoja wa akina CUF si kuwalinda mashoga tuu ila ni wa kulinda ushoga...Yaani ni kama chama cha Kuetetea na kuendeleza mchezo wa soka.Ngugu yangu kulinda "Ushogana+ Usagaji" ni km dini kabisa.hawana malengo ya kuwaisaidia mashoga kuacha hizo tabia au kutozieneza.Hii nid idni ya kuendeleza ushoga.

Hembu funguka uwaulize CUF walipeleka nakala gani ya katiba kule hadi wakapitishwa , na wakati huo huo wanachama wa CUF wana katiba yao na sera wanazozipenda wakati suala la ushoga ni kishindo tosha?Inwezekana wana nakala tofauti za katiba na sera ,wakaweka neno "haki sawa kwa wote " la jumla jumla ili kuweza kula kotekote.Kwa wafadhii na umoja wao ,na huku wakiwatega raia bila wao kujijua.
 
Lkn CHADEMA pia naona wamo ktk misaada ya consavative wakati kiongozi wao mkuu ni David Cameroon ambae nae ni mmoja waliopendekeza ndoa za jinsia moja,pia wamejiunga ktk umoja wa vyama vya kikiristo duniani na walipokea misaada mingi kupitia huko,leo nani atakataa kuwa chadema sio chama cha kidini?ukizingatia hata hao viongozi wao waanglicana ndio source ya ushoga ulimwenguni,inamana na waanglikana wote nao ni mashoga????
Acha umbea wewe.pamoja na mimi kuwaelimisha humu ndani tofauti ya "haki ya mwizi" na "wizi", haki ya teja, uteja", "haki ya uislam" na "mwislam", Ukristu na mkristu,ugaini na gaidi.....hawa akina CUF wao wanatetea "ushoga" na si "haki ya shoga".

Kuna wengi wanaotetea mashoga huku wakipiga sana vita ushoga.Kupiga marufuku biashara ya madawa ya kulevya,bado wakamtetea Mla unga amabye ni mwathirika wa hilo.
Wabunge CUF nao walikuwa na tongotongo km wewe ndio maana wakaleta fujo kihivyo.Inshallah watalijua tuu hilo kuwa wanaeneza dini ya "ushoga".

Hata chadema kesho wakisikia mnataka waua mashoga, waua wezi, waua waathirik wa ukimwi au hata wanyima haki zao za kiraia watakuja juu na kuwatetea na pia kuwasaidia waachane na hayo mambo km si kujikinga.Ila suala l kutetea hii dini "Ushoga" uiberali hilo ni la CUF na wengine.
 
Mnadhimu wa CUF kwa niaba ya CUF na Mh Freeman Mbowe kwa niaba ya CHADEMA wameombana radhi Bungeni baada ya kikao cha jana kilichokaa mpaka usiku.

CHADEMA.
CHADEMA japokuwa hawabadilishi msimamo wao kuhusu ukweli kwamba CUF wapo ktk umoja wa vyama vya kilibirerali ambavyo msingi wake mkuu ni kutetea haki za watu binafsi ikiwepo ushoga na usagaji hata hivyo, kwa ajili ya mustakabali mwema wa Tanzania CHADEMA wakawaomba radhi CUF pale waliopokwazwa na maneno yaliyotumika.
Mbowe pia amemwomba spika radhi kutokana usumbufu wa kuahirishwa Bunge kutokana hotuba yao.

CUF.

CUF wamewaomba radhi CHADEMA kupitia kwa kiongozi wao kuhusu matusi, kejeli na Kashfa walizomwambia Wenje. Wenje alisoma kwa niaba ya CHADEMA, siyo hotuba binafsi. Matusi dhidi ya wenje ni matusi dhidi ya kambi nzima ya CHADEMA.
Pili, Cuf walichana hotuba ya CHADEMA bungeni.
Tatu, CUF walifanya vurugu zilizosababisha Bunge kuahirishwa.
aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.

My take.
wote wamefanya jambo jema.

Mheshimiwa Wenje aonywe kwa kuhatarisha image ya Chama.Hapo suala halijaisha CCM watashupalia nje ya bunge,itasababisha watu kutumia muda mwingi kukihami chama badala ya kukitanua
 
Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.

My take;

CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.

Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?

Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.

Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.

Do you have a better option?
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...
 
Hata wakiombana msamaha haina tatizo, watz tumeshafahamu kuwa tuna "Maliberali" Tanzania.(haki sawa kwa wote- sawa sawa! Sawaaaaaaa!!!!!!!). Pongezi zao Chadema kwa udaku huo, Mungu awape maarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom