Recent content by dgeorge

  1. dgeorge

    Mamlaka ya hifadhi ya chakula ina uwezo wa kuhifadhi tani 246,000 hizo tani 1.5m zimewekwa wapi?

    Sisi yetu macho ...waanze na kwa Gondwe nasikia wanashindia uji usio na sukari na maembe mabichi..
  2. dgeorge

    Kwanini wahindi, wazungu na waarabu hawapati ajali za bodaboda?

    Angalia India wanavyopata ajali usiombee...
  3. dgeorge

    Waziri Mkuu: Nchi haijakumbwa na baa la njaa

    Viongozi wa dini nao wanadanganya?Godwin Gondwe ametoa machozi watu wanashindia uji usio na sukari kwa maembe tusubiri tu kauli zinapishana wao kwa wao sisi yetu macho!
  4. dgeorge

    Namshangaa mwanasiasa/Kaisari anayesema atagawa chakula leo

    Wapendwa njaa ipo vyakula viko juu na wengi sasa wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku!njaa usiisikie kwa wenzako ili mradi wewe una shiba!
  5. dgeorge

    Natafuta kazi za ndani

    Utapata kazi la msingi uwe serious juzijuzi binti wa kazi ka disappear na mtoto wa miaka minne sijui kama walimpata so tuweni makini na tujue background zao,wadhamini ikiwezekana kwao na wazazi wake wengine washirikina,Mungu atusaidie kwa kweli!
  6. dgeorge

    Ombi kwako Mheshimiwa Rais

    Mimi napita tu...
  7. dgeorge

    Hebu soma hichi kisa upate kujifunza kitu ndani yake

    Kila mwanadamu ana umuhimu katika maisha yako na yangu hata kama hana kitu
  8. dgeorge

    Mdogo mdogo Machinga waanza kujenga mabanda ya mbao Msimbazi street.

    Msimbazi wamejaa wauza maji na wanakaa hapo hapo kituo cha mwendokasi juzi nusu nimwage maji na juice zao
  9. dgeorge

    DAR ES SALAAM SIO SALAMA: Waziri Mwigulu Nchemba tunaopenda "HAKI" sasa tuko hatarini.

    Maisha yamekuwa magumu sana, ajira hakuna watu hawana cha kufanya.!
  10. dgeorge

    David Kafulila: Kwa style ya Rais Magufuli atamaliza miaka 5 na watu aliowatumbua tu

    Mimi mwananchi wa kawaida nanufaika vipi na waliotumbuliwa ilihali maisha yangu still magumu,? Tupendacho watu wa chini huduma za kijamii ziwe rahisi mfano madawa, umeme, mashuleni na tupate milo mitatu ndivyo ttulivyoaminishwa.Sasahivi ni tofauti
  11. dgeorge

    Kuondolewa kwa posho za vikao ni pigo jipya kwa CCM

    Namuunga mkono Waziri mkuu....
  12. dgeorge

    Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

    Kweli jamaa kachambua vizuri ...ukiachilia mbali ushabiki Simba wajipange vizuri performance yao sio nzuri ya kupata goli moja hawana team work kila MTU anacheza kivyake!Yanga uwezekano wa kufunga magoli mengi upo fikiria juzi Tambwe na Chirwa hawakucheza hii pekee sycologically timu zimeanza...
  13. dgeorge

    Ukitaka kufanikiwa 2017 katika maisha achana na tabia hizi

    Hilo linaitwa Wazo Pevu,sio vijana tu kwa watu wote ukishakopesha hesabu umetoa msaada kurudi ni Bahati!
  14. dgeorge

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Pole sana ila kesi ya upande mmoja huwezi to a hukumu pili hiyo basi inapakia mizigo mingi ya wateja straight aje achukue mzigo wako tu?kuna kitu kingine nyuma ya pazia hujaweka wazi tusifikirie uovu wa mmojawapo kwa hasira Ila kama ni kweli umeporwa kwa serikali ya sasa hana pa kukimbilia...
  15. dgeorge

    Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

    IT kazi nyingi sana makampuni mengi ya simu yana uhitaji sana na watu wa IT
Back
Top Bottom